#KUJIKUBALI
NI HATUA KUBWA SANA NA YA KWANZA KATIKA MAISHA ILI MTU AWEZE KUFURAHIA UUMBAJI
WA MUNGU.
#Hivi
unamkubali kwa asilimia ngapi huyo unayemwona kwenye Kioo unapojiangalia?
#Kuna
waliojikatia tamaa kabisa, hawataki hata kuona Rangi yao ya Ngozi, wanasahau ya
kwamba HAKUNA ALIYEANDIKA BARUA KWA MUNGU ILI AZALIWE HIVYO ALIVYO. MUNGU
ALIWAFANYIA SURPRISE WAZAZI WAKO
#JIKUBALI
Hamna haja
ya Kujichubua ili uwe mweupe, hatuoi ngozi.
-Hamna haja
ya kukuza makalio yako ili yatikisike unapotembea.
-Hamna haja
ya kudharau nywele zako, kucha zako, kope za macho, na kuona za watu Fulani wa
Ulaya na Amerika ndiyo zinafaa. JIKUBALI
#I MYSELF, I
PREFER NATURAL WOMAN MORE THAN THE ARTIFICIAL ONE.
ACHA
KUSUMBUKIA MAMBO AMBAYO WAOAJI HAWATAKI. WAZINZI NDIYO WANATAKA HAYO MADOIDO.
#STOP
EDITING YOUR BODY
#STOP BEING
CHEAP TO MEN
#START BEING
EXPENSIVE FROM THIS TIME ON.
MUNGU
alimwumba Mwanadamu akiwa kamili. ULIUMBWA KWA SURA NA MFANO WA MUNGU.
#NI HESHIMA
KUBWA SANA AMBAYO MUNGU ALIKUPATIA, KUPEWA MWONEKANO WAKE-MFANO WAKE NA SURA
YAKE.
Kuna Watu
wengi sana sahivi duniani ambao wamejitolea Kubadili Sura zao na Mfano wao kuwa
kama Watu Fulani hivi ambao ni Maarufu-By the name of Role Models.
*Usiwe kama
Michael Jackson ambaye aliona Rangi ya ngozi yake na mwonekano wake
haumtoshelezi.
*You're an
Image of God. Be Proud of that
#Jikubali
-Acha
Kuhangaika na Vipodozi. Wewe ni Mzuri, Uzuri uliwekwa ndani yako tangu siku
Ulipoumbwa na Mungu katika Fikra zake.
HUWEZI KUWA
MJANJA KULIKO MUNGU. LABDA UJIFANYE TAIRA
Haya Mambo
ya watu Kurekebisha uumbaji wa Mungu katika Miili yao ulikuwepo hata zamani
wakati wa mfalme Sulemani. Mfalme Sulemani anasema,
#Tazama hili
tu nimeliona; MUNGU AMEMFANYA MWANADAMU MNYOFU, LAKINI WAMEBUNI MAVUMBUZI MENGI
(Mhubiri 7:29)
Walioleta
Nywele bandia, kucha na kope za bandia, Vipodozi, dawa za kukuza/kupunguza
matiti au Makalio, na hayo unayoyajua wewe NI MAVUMBUZI MENGI YALIYOBUNIWA NA
WANADAMU.
#GOD MADE A
PERFECT MAN JUST AS HE IS. MEN SAW THEMSELVES NOT PERFECT BECAUSE OF SIN WITHIN
THEM-Lackson Tungaraza.
DHAMBI
HUMFANYA MTU AJIONE AMEPUNGUKIWA MAMBO FULANI HIVI ILI ATEKE MVUTO KWA WENGINE
KABLA YA
ADAMU NA HAWA KUTENDA DHAMBI YA UASI WALIKUWA UCHI SIKU ZOTE NA WALIJIONA WA
KAWAIDA TU.
#DHAMBI
ilipoingia ndani Yao, wakaona ya kwamba kuna mambo Fulani hivi ambayo
yamepungua kwenye Miili yao
-Wakajiona
wako Uchi, wakajifunika kwa matawi.
Dhambi
umekufanya Usijikubali.SHETANI KAKUAMBIA NYWELE ZAKO, NGOZI YÀKO, KUCHA ZÀKO,
UMBO LAKO SIYO SAHIHI. UMEDANGANYIKA NA. KUREKEBISHA UZURI ULIOKUWA NDANI YAKO.
#JIKUBALI
*TUBU DHAMBI
ILIYOJIFICHA NDANI YAKO. DHAMBI NI MBAYA SANA
KUTOKUJIKUBALI
NI UTUMWA MBAYA SÀNA MAANA NI WÀ NDANI KWA NDANI, SIYO WÀ MINYORORO NA PINGU
#JIKUBALI.
YOU ARE SPECIAL AND UNIQUE, FULL OF GOD's BEAUTY
ZAIDI PATA KITABU
CHA #FICHUKA Ujifunze zaidi.
Kingdom
Transformer,
Lackson
Tungaraza
0764793105-whatsapp
or Call
Open..
http://lacksontungaraza.blogspot.com
www.facebook.com/ltungaraza
FIX ME JESUS
KWA KWELI
ReplyDelete