Sunday, January 22, 2017

Do you Need Success? Do you want a Life of Prosperity? Do you Love walking with God at Higher Standards? Are you Passionate of having a Job or a Business? WHAT DO YOU HAVE? UNA NINI?

Every Now and Then, People Seek New things, IGNORE what they have. Living their Wives to find Virgin Ladies, Living their Husbands to find sexual Satisfaction, withdrawing from one Political Party to another, buying New Clothes of Recent design, etc

Ni kweli ndani yako Mwaka huu Unataka Kuanza Biashara, Kuhubiri Injili, Kuwa Mwanasiasa, Kupata Ajira nk. Na ni Maombi yako kwa Mungu wakati wote.

MUNGU ANAPOKUJA KWENYE MAISHA YAKO, anaangalia "WHAT DO YOU HAVE? UNA NINI?" Ni nini unacho Unapotaka Kuanza hiyo Biashara, Unapotaka Kuoa au Kuolewa, Kupata Ajira, Kufaulu Mitihani? Je ni PESA, AU UTAYARI, AU IMANI, AU MAARIFA? UNA NINI!!
Mwanamke aliyetokwa Damu kwa muda wa  Miaka 12 alikuwa na UTAYARI NA IMANI, MUSA alikuwa na FIMBO MKONONI, PETRO alikuwa na MTUMBWI, SAULI alikuwa na MAARIFA YA TORATI. Wewe Una nini? Ebu angalia Scenario ifuatayo...


#Mathayo 14:15-20
[15]Hata kulipokuwa jioni, wanafunzi wake walimwendea, wakasema, Mahali hapa ni nyika tupu, na saa imekwisha pita; uwaage makutano, waende zao vijijini, wakajinunulie vyakula.
[16]Yesu akawaambia, Hawana haja kwenda zao, wapeni ninyi vyakula.
[17]Wakamwambia, Hamna kitu hapa ila mikate mitano na samaki wawili.
[18]Akasema, Nileteeni hapa.
[19]Akawaagiza makutano waketi katika majani; akaitwaa ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama juu mbinguni, akabariki, akaimega ile mikate, akawapa wanafunzi, wanafunzi wakawapa makutano.
[20]Wakala wote wakashiba; wakayaokota masazo ya vipande vya mikate, vikapu kumi na viwili, vimejaa.

LACKSON TUNGARAZA
what do you have? 2017:ENTER THROUGH THE
NARROW GATE.
Sentensi waliyosema Wanafunzi wa Yesu "Hamna kitu hapa ila mikate mitano na samaki wawili."  Inaonesha ni kwa Kiwango gani Walikuwa hawathamini Walichokuwanacho kwa wakati huo. Waliona ya kwamba kuna Njia nyingne inayotakiwa ili Makutano waweze kupata chakula, Wakajinunulie Chakula.

Yesu Kristo akawaambia wamletee hiyo mikate Mitano na Samaki wawili. Akashukuru na chakula kikawa cha kusaza, kwa sababu LITTLE IS MUCH WHEN GOD IS IN IT. Today God is Asking you again, WHAT DO YOU HAVE?
GIDEONI alikutwa ana Uwezo ndani yake (Uwezo wa Kupiga vita, Uwezo wa Kufanya Jambo kwa Bidii, Uwezo wa Kuongoza vitani nk). Neno linasema ya kwamba...


      #Waamuzi 6:11-16

[11]Malaika wa BWANA akaenda akaketi chini ya mwaloni uliokuwa katika Ofra, uliokuwa mali yake Yoashi, Mwabiezeri; na mwanawe Gideoni alikuwa akipepeta ngano ndani ya shinikizo, ili kuificha machoni pa Wamidiani.
[12]Malaika wa BWANA akamtokea, akamwambia, BWANA yu pamoja nawe, Ee shujaa.
[13]Gideoni akamwambia, Ee Bwana wangu, ikiwa BWANA yu pamoja nasi, mbona mambo haya yote yametupata? Yako wapi matendo yake ya ajabu, waliyotuhadithia baba zetu, wakisema, Je! Siye BWANA, aliyetuleta huku kutoka Misri? Ila sasa ametutupa, naye ametutia katika mikono ya Midiani.
[14]BWANA akamtazama, akasema, Enenda kwa UWEZO wako huu, ukawaokoe Israeli na mkono wa Midiani. Je! Si mimi ninayekutuma?
[15]Akamwambia, Ee Bwana, nitawaokoa Israeli kwa jinsi gani? Tazama, jamaa zangu ndio walio maskini sana katika Manase, na mimi ndimi niliye mdogo katika nyumba ya baba yangu.
[16]BWANA akamwambia, Hakika nitakuwa pamoja nawe, nawe utawapiga Wamidiani kama mtu mmoja.

Mungu akamwambia Gideon aenende kwa UWEZO WAKE HUO HUO (alichonacho) na atawapiga Midiani kama Mtu mmoja. How Wonderful!! Wewe una nini ambacho Mungu atakitumia Mwaka huu kukuvusha ng"ambo ya Pili? What do you have?




Inawezekana Unamlilia sana Mungu ili upate Mume, lakini Mungu anapokutaza haoni Kitu. Haoni ukiwa na Maarifa ya Ndoa, haoni ukiwa na Maono ya Familia unayoitaka, haoni ukiwa na Shauku ya kuwa na Ndoa bora ya kiMungu, upo upo tu. Unamlilia akupe Gari na hata Alama za barabarani hujui, kuendesha hujui. Unataka Kuanza biashara na hauna vitabu vya biashara,  hujui biashara gani unahitaji nk. Leo Lackson Tungaraza nakuuliza UNA NINI? Mungu anakuuliza "WHAT DO YOU HAVE TO CONVICE ME TO GIVE YOU A FAVOR?" FICHUKA, DISCOVER YOURSELF IN GOD. DISCOVER THE LOST YOU.

KUWA MUWAZI MBELE ZA MUNGU ITAKUSAIDIA SANA. Inawezekana kabisa HUJATAMBUA UWEZO ULIYONAO, UMEKATA TAMAA AT CETAIN POINTS, UNADHANI YA KWAMBA UWEZO ULIYONAO NI MDOGO SANA. kumbuka tu kwamba LITTLE IS MUCH WHEN GOD IS IN IT. KIDOGO ulichonacho kinaenda Kufanywa KIKUBWA kuanzia sasa. FIMBO ambayo Musa aliona ya kawaida, ILIGEUKA KUWA NYOKA MACHONI PA FARAO, ILIHUSIKA KATIKA KUFANYA BAHARI YA SHAMU KUWA NCHI KAVU NA ISRAELI WAKAPITA. Kikubwa ni Kumhusisha Mungu. Maandiko yanasema....

         #Isaya 40:28-31
[28]Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, BWANA, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki.
[29] Huwapa nguvu WAZIMIAO, humwongezea nguvu yeye ASIYEKUWA NA UWEZO*
[30]Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka;
[31]bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.


WHAT DO YOU HAVE? UNA NINI? sidhani kama bado utasubiri tena KUSHAWISHIWA ILI USOME VITABU, ILI UHUDHURIE SEMINA NA MAKONGAMANO, ILI UENDE KANISANI KUJIFUNZA, ILI UJIFUNZE KWA WALIYOTANGULIA NA KUFANIKIWA KATIKA ENEO LA MAISHA UNALOTAKA KUFANIKIWA PIA. Mwl. Makwaya anasema TO BE IS TO DO, Fred Msungu anasema BADILI CHANZO CHA TAARIFA, Apostle Shemeji Melayeki anasema TAKE THE FIRST STEP, Pastor Raphael Lyela anasema FICHUKA, Lackson Tungaraza anasema KIPAWA NI KAMA NYWELE KATIKA KICHWA CHA SAMSONI, UKIKILINDA NA KUKITUMIA VYEMA UTAFANIKIWA, USIPOFANYA HIVYO KINAKUANGAMIZA.

Ubarikiwe sana kwa Kupata Maarifa haya. Usiache Kupata Kitabu cha FICHUKA, DISCOVER YOURSELF IN GOD. Usiache kuwa rafiki yangu Facebook ili upate Maarifa zaidi (www.facebook.com/ltungaraza ) na Kuwa karibu na YouTube channel ( www.YouTube.com/c/LacksonTungaraza  ).

2017: ENTER THROUGH THE NARROW GATE.
©Lackson Tungaraza
0764793105 -whatsapp
0652493878

SHARING IS CARING. Shea Ujumbe huu na Wenzako. USIONDOE CHOCHOTE ILI UONEKANE UMEANDIKA WEWE. HUO UTAKUWA NI UFARISAYO WA HALI YA JUU! MUNGU AKUPE UWEZO WAKO BINAFSI. Amen!!!!






1 comment:

  1. SHARING is CARING.
    Toa Maoni yako hapa. KARIBU SANA.
    UNAWAZA NINI JUU YA SOMO HILI.........

    ReplyDelete

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI