Wednesday, March 6, 2019


"UKITAKA KUWA MC (Master Of Ceremony) UNAYEPENDWA ZAIDI MJINI, Unapaswa Kuwa na SIFA Mbili Kuu;

(I) Uwezo wa Kuwafurahisha Watu, Hata kama ni kwa Mambo ya Kijinga na Yasiyokuwa na maana.

(II) Uwezo wa Kuwafanya Watu WATOE PESA zaidi (Cash), Hata Kama ni Kwa Kukopa Kwa Majirani zao. Ili hizo Pesa Ziweze Kufidia Gharama zilizotumika Kwenye maandalizi ya Harusi, Sherehe, au Uzinduzi.

Mwonekano wa MC Sio Kigezo Kikubwa sana. Kitafuata mbeleni huko." - LAMAX.


Kwa hiyo, Kama huna hizo Sifa Mbili Kuu, Tafuta Kazi Nyingine ya Kufanya Mjini. Furaha + Pesa ndio Habari ya Mjini kwa Sasa.
@lacksontungaraza

0 comments:

Post a Comment

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI