Showing posts with label MAJANGA YA MSUMBIJI Vs MAISHA YETU YA LEO (@LacksonTungaraza). Show all posts
Showing posts with label MAJANGA YA MSUMBIJI Vs MAISHA YETU YA LEO (@LacksonTungaraza). Show all posts

Monday, May 6, 2019


TAJIRI MKUBWA SANA DUNIANI AITWAYE SULEMANI Alisema hivi;

A) Atendaye Mambo kwa Mkono mlegevu huwa Maskini  (Kwa hiyo kuwa Maskini ni Matokeo ya kufanya mambo kwa Ulegevu/Unyonge/Liwalo na Liwe); Bali MKONO WAKE ALIYE NA BIDII HUTAJIRISHA (kila aliyetajirika ni kwa sababu ya kufanya kazi Yake kwa BIDII - sio kwa Kujaribu Jaribu).

B) Katika KILA KAZI "MNA FAIDA"; Bali Maneno ya Midomo huleta HASARA tu (Yaani kuongea tu bila kufanya KAZI ni kujiletea hasara maishani).

C) Alimaye Shamba lake atakuwa na Chakula TELE; Bali afuataye Mambo ya Upuuzi ATAPATA UMASKINI WA KUMTOSHA (Huo UMASKINI Utakuwa wa VIWANGO vya 4G au zaidi).

D) Je! Wamwona Mtu mwenye BIDII katika KAZI Yake? Huyo Atasimama mbele ya Wafalme ( atapata KIBALI kwa Watu waliofanikiwa zaidi. Hao Watu ndio watakuwa Watu wake wa karibu); Hatasimama mbele ya Watu Wasio na Cheo (hutamkuta kwa Watu wasiopenda kazi).

By Lackson Tungaraza.

Kupata Vitabu vya Lackson Tungaraza kama Cha SITARUDI NYUMA TENA, MWANACHUO DIARY, MBINU 16 ZA KUONGEZA MAUZO KWENYE BIASHARA YAKO, NAMNA YA KUSOMA KITABU, n.k. njoo WhatsApp kwa kubofya hii LINK: https://wa.me/255764793105



Wednesday, March 20, 2019

MAJANGA YA MSUMBIJI Vs MAISHA YETU YA LEO (@LacksonTungaraza) Kama Wewe ni Mfuatiliaji wa Masuala yanayoendelea Duniani, Nadhani Utakuwa umepata habari ya Kimbunga kilicholeta MAAFA makubwa sana kwa ndugu zetu wa nchini MSUMBIJI. . Sasa kuna Jambo ambalo Wewe na Mimi tunapaswa KUJIFUNZA kupitia yaliyotokea huko kwa wenzetu. Jifunze kupitia hii VIDEO. . USISAHAU Ku_SUBSCRIBE na Kushea video kwa wenzako huko Facebook, Twitter, Instagram, YouTube, n.k. @LACKSONTUNGARAZA WhatsApp! +255 (0) 764 793105.

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI