Showing posts with label MWANACHUO. Show all posts
Showing posts with label MWANACHUO. Show all posts

Tuesday, March 5, 2019


Mwanzoni Uliamini ya kwamba KWA KUJIAJIRI ndipo UTAPATA UHURU WA KIFEDHA na KIUCHUMI. Ukakataa KUAJIRIWA kwa Sababu ya kasoro Yake ya KUWEKEWA UKOMO WA FEDHA UNAYOINGIZA (Income) kutoka kwa MWAJIRI wako.


LAKINI LEO!

Huamini tena kama Ulikuwa Unamaanisha kwa dhati Kutoka moyoni mwako. Na hiyo imekuja baada ya KUISHIWA PESA YOTE YA KUANZISHIA BIASHARA [au MTAJI Kama Wengi Wasemavyo], na KUPATA HASARA ZA MFULULIZO KATIKA BIASHARA au MRADI ULIYOKUWA UKIUTEGEMEA SANA. Yaani, Umekaribia kabisa Kukata Tamaa, na Muda mwingi Unautumia katika KUJILAUMU kwa KUACHA KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA zilizokuwa zinakufuata hapo Awali.

Pole sana. Lakini Nikuulize; "WAKATI ULIPOAMUA KUJIAJIRI BADALA YA KUAJIRIWA, ULIDHANI YA KWAMBA KUNA MTEREMKO SANA (Hakuna CHANGAMOTO KUBWA, wala HASARA)??", au Rudi hatua Tatu Nyuma na KUJIULIZA ni kwa nini Uliamua KUJIAJIRI kuliko KUAJIRIWA. Na kama NIA YAKO ilikuwa ni ya dhati Kabisa, kwa nini Sasa Ukate tamaa? Hujui ya kwamba IMANI NDIYO HUJARIBWA? Na KUJARIBIWA KWA IMANI NDIKO KUNALETA SABURI (Ukomavu, Ushupavu, Uhodari)?

Sitaki Uamini ya kwamba Ulikosea kwenye MAAMUZI Yako Ikiwa ULIKUWA NA SABABU ZA MSINGI, PAMOJA NA NIA YA DHATI Kutoka Moyoni mwako. Au PATA MAHALI PA UTULIVU na Kujitathimini kwa Kujiuliza na Kujihoji kama Uliamua kwa dhati kabisa Kutoka moyoni mwako, au Uliamua KUJIAJIRI kwa Sababu ya USHAURI wa Waalimu wa Ujasiriamali, na Wazungumzaji (Motivational Speakers). Au kwa Sababu ya TAMAA YA PESA kwa KUDHANI ya kwamba BIASHARA PEKEE ndiyo NJIA ya Kupata UHURU wa KIFEDHA na KIUCHUMI.

Mwisho kabisa,

SAFARI YA KUJIAJIRI SIO LELEMAMA au MTELEZO; Unaweza ukakutana na HASARA NYINGI za MFULULIZO kuliko hata FAIDA. Au Unaweza ukakutana navyo vyote kwa Wakati Mmoja  (Faida na Hasara). Au Unaweza ukakutana na FAIDA NYINGI za MFULULIZO kuliko hata HASARA  [ambayo Sio kwa Wakati Wote]. Na hiyo haijalishi Ulihudhuria Semina ngapi za Ujasiriamali na Biashara, ulisoma Vitabu vingapi vya Fedha na Uchumi, wala idadi ya Mashauri uliyopokea kutoka kwa manguli wa Ujasiriamali na Biashara. Huwa inatokea tu, na hata Mimi Sina lugha nyepesi ya kuielezea ni kwa nini huwa inakuja tu. Kwa hiyo, Unapaswa KUAMUA kabisa ya kwamba UNATAKA KUJIAJIRI hata kama kuna Changamoto na Hasara ABC. Na kama HUWEZI, basi UTAFUTE NAFASI ZA AJIRA MAPEMA. Kwa maamuzi yo yote Yale, jiapie "SITARUDI NYUMA TENA" kama ilivyoandikwa ndani na nje ya Kitabu changu (Kama huna hicho Kitabu, nijulishe nikutumie - kinapatikana, na kinauzwa).


AMUA LEO KUWA WA TOFAUTI. NIA ni Sababu ya dhati iliyopo nyuma ya maneno na matendo yo yote Yale - haijalishi ni mema au mabaya.

@LACKSONTUNGARAZA (Lamax)
Whatsapp: +255764793105
Bye bye... Uwe na Siku Njema Yenye Ushindi na Amani ya Mwenyezi Mungu aliye hai.


Tuesday, August 7, 2018

Hakuna asiyelijua hili, ya Kwamba VIJANA Wengi sana HUBADILIKA sana Kitabia wanapofika VYUONI. Kiasi kwamba kuna baadhi ya Wazazi, Walezi, Na Ndugu ambao Husikitika kwa Kuona Watoto Wao Wakichaguliwa Kuingia Vyuoni kwa masomo ya Elimu ya Juu.

.... Kubadilika kwa tabia za Wanavyuo kumefanya Jamii Iwe na Mitazamo mibaya juu ya maisha ya Vyuoni.

I.... Kuna ambao Wameapa Ya kwamba HAWATAOA AU HAWATAOLEWA na WANAVYUO kwa Sababu tu Waliona Picha chafu za kingono za Wanavyuo mbali mbali, Na Pia Kusikia na Kuona Namna Wanavyoishi Katika vyumba vyao.

II... kuna ambao Wameapa Kuacha Kuwapangisha Wanavyuo Katika Nyumba zao za kupangisha kwa Sababu ya tabia zao za Kutembea na Waume au Wake za Watu, Kupiga kelele nyingi za Muziki N.K.

III.... kuna ambao Wameacha Kabisa Kuwaajiri Wanavyuo kwa Kuhofia kuibiwa na kuharibiwa biashara. N.K

INAWEZEKANA KUNA MTU UNAYEMFAHAMU; yaweza kuwa ni MTOTO wako, Rafiki, Ndugu, Jirani, N.k.. ambaye Yuko CHUONI au ANAKARIBIA KUINGIA CHUONI, Ebu mshauri sana Apate KITABU changu KIPYA kiitwacho "MWANACHUO DIARY." Ni Kitabu Kizuri sana ambacho kitamsaidia sana Kujua Yaliyomo Vyuoni ambayo Huwafanya  Wanavyuo wengi kuwa na TABIA mbaya Mara baada ya Kufika huko.

.... Wewe MZAZI au MLEZI nawe Unaweza kupata Kitabu changu ili Ujue namna ya KUWASAIDIA VIJANA WAKO.



ANGALIZO!
......................................
UKIWALETA WATEJA 10 WA KUNUNUA KITABU CHA "MWANACHUO DIARY" BASI WEWE UTAPATA KITABU KIMOJA BURE KABISA. Hivyo, Utapata Matunda Mazuri ya kuwa Sehemu Ya Kuwafikia Vijana ndani na Nje ya Tanzania.
.........................................

Ni Mimi Rafiki Yako,
#Lackson Tungaraza
-Mjasiriamali,
-Mwandishi wa VITABU N.K
 
#Mawasiliano! 0764-793105 au
0656-197242.

Sunday, August 5, 2018

- Miongoni mwa Watu ambao JAMII inawategemea kwa asilimia Kubwa ili Kuiletea Maendeleo CHANYA, ni Wanafunzi wa Vyuoni. Karne zimebadilika, Jamii nayo Imebadilika sana. Ile Hadhi ambayo Wanafunzi wa Vyuoni Walikuwa nayo Machoni pa Wanajamii kwa Miaka Kama Kumi na Mitano Iliyopita, Sio kama ya Sasa. Hadhi Yao Imepungua sana kwa sababu ya MIENENDO Yao Wawapo Vyuoni na Wamalizapo MASOMO Yao na Kurudi Kuishi ndani ya Jamii Waliyoiacha hapo Awali.

-  Ndani ya KITABU CHA "MWANACHUO DIARY" kuna FUNGUO Za Kukusaidia;

(I) WEWE UNAYETARAJIA KUINGIA CHUONI
-[Ufahamu mambo ya Muhimu sana kabla ya Kuingia Chuoni-Kinga ni BORA kuliko TIBA].

 #Mfano;
□ Sababu zinazowafanya VIJANA Wengi kuwa na MIENENDO Mibaya Mara baada ya Kuingia Vyuoni,
□ Changamoto ambazo Kijana anakutana nazo Wakati anapoingia Chuoni N.K


(II)WEWE ULIYEPO CHUONI
-[Mambo Kadhaa Uwezayo Kufahamu na Kufanya na Ukawa na MAFANIKIO Makubwa Kielimu na Kimaisha].

#Mfano;

□- Supplementary, Carry_Over na Discontinuity
-[kwa Mtazamo wa Kimaisha kwa Ujumla.]

□- MATUMIZI Mazuri ya FEDHA ya Kujikimu (Boom).
-Utakutana na Shuhuda za Mwandishi, namna alivyoitumia hiyo FEDHA Kukuza Tasnia Yake ya UANDISHI na Kukua KIUCHUMI N.k

□- Chagua Kujiajiri, Kuajiriwa, Kuajiri Wengine au Mchanganyiko.
- [ NONDO Za Kukusaidia Kufanya MAAMUZI Yako Kwa Usahihi.] N.K


(III)WEWE UNAYEONDOKA CHUONI.

#Mfano:

□- Sababu za Vijana Wengi Kukosa AJIRA
□- Cha Kufanya ili Ukue  KIUCHUMI Karne Hii
□- Kilio cha Ukosefu wa MTAJI nchini.
□- Kwanini Watu hawafanikiwi Kwenye MAISHA Yao ya Kila Siku. N.K


PIA KUNA UZOEFU NA MAONI YA WANAVYUO MBALI MBALI NCHINI
- [Juu ya Maisha waliyoyapitia Vyuoni, na Waliyokumbana nayo Mtaani baada ya Kuhitimu Masomo Yao.]


(IV)WEWE MWANAJAMII (Mzazi, Mlezi, Ndugu, Jamaa, Serikali Nk) Kujua Mchango Wako kwa Wanavyuo
-Mzazi Unaweza kukisoma Ili Upate MAARIFA ya Kuwasaidia Watoto Wako na Wote Wakuzungukao.

⭕ NI KITABU RAFIKI KWA KILA APENDAYE MAARIFA.
-Unapokuwa unasoma KITABU hiki unakuwa unasoma Maisha ya Watu Halisi na Kupata LADHA Orijino.
MWANACHUO DIARY

PATA KITABU HIKI ORIJINO, HAZINA YA VIZAZI VYOTE. Kina SEHEMU NNE.
Mawasiliano! 0764- 793105/0656-107242.
LACKSON TUNGARAZA.


KUHUSU MWANDISHI;
▪LACKSON TUNGARAZA ni Mjasiriamali kwa Sehemu, Mwamasishaji, Mhubiri, Mwanzilishi wa LAMAX QUOTES, Mwanzilishi na Rais wa Huduma (NYI), na Mwandishi wa VITABU Kadhaa Ikiwa ni Pamoja na kile Kiitwacho ' #SITARUDI_NYUMA_TENA' ambacho kilianza Kusambazwa Nchini Oktoba 2017.
-Alikuwa akifundisha Masomo ya Ujasiriamali ICE FM Redio ya Njombe Katika Kipindi cha 'Bodaboda Chukua Utulivu' cha Kila Alhamis Asubuhi, na Pia kuandikwa katika Gazeti la "THE CITIZEN."
-Tangu akiwa Mwaka wa Kwanza Chuoni UDOM alikuwa hapendezwi sana na Maisha ya Wanavyuo; Matumizi Yao ya Kifedha, Tabia, Hali zao za Kimahusiano... Ndani Yake akawa anaumia sana Lakini hakupata Namna Nzuri ya Kufanya Maumivu hayo kuwa Elimu. Watu Wengi  huwa Wanaenda Vyuoni na Kutoa Elimu kwa Muda Mfupi na Kuondoka na Kuwaacha Wanavyuo Wakiwa na Shida na Maswali Kibao. Alipokuwa "FIELD" Mwaka wa Kwanza Chuoni CIVE-UDOM, alianza Kuandaa Pointi za Msingi katika 'DIARY' Yake na Kisha Kuanza Kuandika Hatua kwa Hatua. Na Sasa KITABU chake cha MWANACHUO DIARY Kipo Nchini kwa ajili Yako. KITABU hicho ni Mjumuisho wa Maisha Yake, ya Wengine, Pamoja na Tafiti mbali mbali.

Zaidi:
Fb.com/ltungaraza na
https://lacksontungaraza.blogspot.com

#UNAPANGAJE KUKOSA KITABU CHA "MWANACHUO DIARY"?

-JIPATIE SASA NAKALA YAKO MAPEMA.
Mawasiliano! 0764- 793105/0656-107242.

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI