~
Wanadamu hata siku moja haitawahi kutokea tukawa sawa kimtazamo,
kimienendo..never. Unaweza ukajiulza mbona Mimi ninajiheshima, mpole, mvumilivu
lakini huyu ndugu yangu ni mkorofi sana, mlevi, mbeya, mzinzi n.k. Hyo ni tofauti
kati ya binadamu na binadamu...it's just a matter of time. Naamini hata wewe
kuna siku hapo nyuma ulikuwa na vijitabia vibaya sana ila vilikuwa haviko
dhahiri, kwa Neema ya Mungu umejitambua.
Sasa
katka mazingira kama haya ya kuwa karibu na watu ambao tabia zao zimekuwa mwiba
kwako, ufanyeje? Wanakusengenya, wanakudharau, wanakutukana n.k
~
PRACTICE SILENCE! Jaribu kwanzia sasa kuwa Mkimya. Hautapata hasara yoyote kwa
kuwa Mkimya hata siku moja. Kwanini uwe Mkimya? Hii itakusaidia kuchota Maarifa
mbalmbal kutokana na watu wanaokuzunguka. KIMYA KINGI KINA MSHINDO, Utashangaa
baada ya muda fulani umekuwa na maarifa mengi juu ya kukabiliana na watu wenye
tofauti za tabia na wewe. Muulize Daudi mtoto wa Yese au Yusufu mtoto wa Yakobo
jinsi ukimya ulivyomsaidia kuchota maarifa kutokana na watu waliokuwa wakiishi
nao. Maarifa hayo yaliwasaidia sana hata walipokuja kuwa viongozi wakubwa katka
taifa la Israeli.
"COIN
ALWAYS MAKES SOUND BUT THE CURRENCY NOTES ARE ALWAYS SILENT. SO WHEN YOUR VALUE
INCREASES KEEP QUIET" ~Shakespeare.
But
try to quiet in certain conditions not all. " THE WORLD SUFFERS A LOT. NOT
BECAUSE OF THE VIOLENCE OF BAD PEOPLE,
BUT BECAUSE OF THE SILENCE OF GOOD PEOPLE" ~Napoleon Hill.
Ukimya
wako uwe na mipaka..usiache kusema jambo la muhimu la kuleta ukombozi, kwa
hekima na maarifa.
By Lackson Tungaraza
(+255)-764793105.
www.lacksontungaraza.blogspot.com
Share
it please without editing any of the
content.
0 comments:
Post a Comment