Sunday, July 10, 2016
Kuna tafsiri mbali mbali katika vichwa vya watu na katika mitandao ya kijamii juu ya dhana ya UJASIRIAMALI. Wengi wamepata tafsiri zilizowapa presha na kuamua kuacha kuwa WAJASIRIAMALI, na baadhi hawatambua ni kwa namna gani wanaweza kuwa Wajasiriamali wakubwa wenye Mafanikio.
UNASUBIRI NINI!! Tazama video hii kwa umakini, naamini hautotoka kapa bali utaelewa UJASIRIAMALI ni nini na Namna ya kuwa mshindi katika sekta hii. Karibu sana.
Whatsapp: 0764793105 [Lackson Tungaraza]
Facebook: www.facebook.com/ltungaraza
Related Posts:
IFANYE BIASHARA YAKO KUWA YA TOFAUTI NA YENYE MVUTO MKUBWA LACKSON TUNGARAZA KATIKA HARAKATI ZAKE ZA KUTOA HUDUMA YA VIATU Tunashindwa kuongeza vipato vyetu kwa sababu biashara zetu hazina mvuto Tunapoendelea kufungua vyanzo vingine vya vipato kwa kutumia mbinu zile zi… Read More
UJASIRIAMALI NI NINI? Kuna tafsiri mbali mbali katika vichwa vya watu na katika mitandao ya kijamii juu ya dhana ya UJASIRIAMALI. Wengi wamepata tafsiri zilizowapa presha na kuamua kuacha kuwa WAJASIRIAMALI, na baadhi hawatambua ni kwa namna gan… Read More
MAONGEZI YENYE MAANA NI YAPI HAYO... Tungaraza na Kijana Joseph katika Mjadala. Kila mara watu tunajikuta tupo au tunaingia wenyewe katika Mazungumzo, na hayo mazungumzo yanaweza yakawa yenye kuleta Matokeo chanya au hasi. Hivyo uhalali wa matokeo ya mazungumzo unategemeana na wahusika binafsi. Leo… Read More
UKWELI JUU YA SEMINA ZA MTANDAONI Natumaini wewe ni mzima wa afya na unaendelea vizuri na shughuli zako za kila siku. Ni jambo jema sana la kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kukupatia siku nyingine tena ukiwa na nguvu tele, una ndugu, una marafiki wazuri, umekul… Read More
JINSI YA KUWEKA MALENGO NA NAMNA YA KUFANIKISHA MALENGO YAKO By Lackson Tungaraza 0764793105 whatsapp. Habari yako rafiki yangu mpendwa? Baada ya kuwa tumejifunza mada mbalimbali za ukombozi wa fikra na mafanikio ya kiuchumi. Napenda kukushukuru kwa ufuatiliaji wako katik… Read More
UJASIRIAMALI huo..... una maoni gani hapa?
ReplyDelete