Sunday, July 10, 2016



Kuna tafsiri mbali mbali katika vichwa vya watu na katika mitandao ya kijamii juu ya dhana ya UJASIRIAMALI. Wengi wamepata tafsiri zilizowapa presha na kuamua kuacha kuwa WAJASIRIAMALI, na baadhi hawatambua ni kwa namna gani wanaweza kuwa Wajasiriamali wakubwa wenye Mafanikio.



UNASUBIRI NINI!! Tazama video hii kwa umakini, naamini hautotoka kapa bali utaelewa UJASIRIAMALI ni nini na Namna ya kuwa mshindi katika sekta hii. Karibu sana.

Whatsapp: 0764793105 [Lackson Tungaraza]

Facebook: www.facebook.com/ltungaraza










Related Posts:

  • SIRI INAYOVUTA MAFANIKIO SIRI INAYOVUTA MAFANIKIO  Nitakuwa muongo sana kama nikisema ya kwamba hamna mtu anayependa Mafanikio, hata wewe umechukua muda wako kusoma makala hii kwa sababu unapenda kufanikiwa kupitia hii Siri Inayovuta Mafa… Read More
  • UKWELI JUU YA SEMINA ZA MTANDAONI Natumaini wewe ni mzima wa afya na unaendelea vizuri na shughuli zako za kila siku. Ni jambo jema sana la kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kukupatia siku nyingine tena ukiwa na nguvu tele, una ndugu, una marafiki wazuri, umekul… Read More
  • IFANYE BIASHARA YAKO KUWA YA TOFAUTI NA YENYE MVUTO MKUBWA LACKSON TUNGARAZA KATIKA HARAKATI ZAKE ZA KUTOA HUDUMA YA VIATU Tunashindwa kuongeza vipato vyetu kwa sababu  biashara zetu hazina mvuto Tunapoendelea kufungua vyanzo vingine vya vipato kwa kutumia mbinu zile zi… Read More
  • UJASIRIAMALI NI NINI? Kuna tafsiri mbali mbali katika vichwa vya watu na katika mitandao ya kijamii juu ya dhana ya UJASIRIAMALI. Wengi wamepata tafsiri zilizowapa presha na kuamua kuacha kuwa WAJASIRIAMALI, na baadhi hawatambua ni kwa namna gan… Read More
  • JE KIJANA UNAHAMU YA KUWA NA MAISHA YENYE FURAHA NA MAFANIKIO? Ni haki yako Kijana Mwenzangu kuwa na Maisha yenye furaha na Mafanikio. Tumia ushauri ufuatao ili uweze kufikia lengo hilo; … Read More

1 comment:

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI