-
Miongoni mwa Watu ambao JAMII inawategemea kwa asilimia Kubwa ili Kuiletea
Maendeleo CHANYA, ni Wanafunzi wa Vyuoni. Karne zimebadilika, Jamii nayo
Imebadilika sana. Ile Hadhi ambayo Wanafunzi wa Vyuoni Walikuwa nayo Machoni pa
Wanajamii kwa Miaka Kama Kumi na Mitano Iliyopita, Sio kama ya Sasa. Hadhi Yao
Imepungua sana kwa sababu ya MIENENDO Yao Wawapo Vyuoni na Wamalizapo MASOMO
Yao na Kurudi Kuishi ndani ya Jamii Waliyoiacha hapo Awali.
- Ndani ya KITABU CHA "MWANACHUO
DIARY" kuna FUNGUO Za Kukusaidia;
(I) WEWE
UNAYETARAJIA KUINGIA CHUONI
-[Ufahamu
mambo ya Muhimu sana kabla ya Kuingia Chuoni-Kinga ni BORA kuliko TIBA].
#Mfano;
□ Sababu zinazowafanya VIJANA
Wengi kuwa na MIENENDO Mibaya Mara baada ya Kuingia Vyuoni,
□ Changamoto ambazo Kijana
anakutana nazo Wakati anapoingia Chuoni N.K
(II)WEWE ULIYEPO CHUONI
-[Mambo
Kadhaa Uwezayo Kufahamu na Kufanya na Ukawa na MAFANIKIO Makubwa Kielimu na
Kimaisha].
#Mfano;
□- Supplementary, Carry_Over na
Discontinuity
-[kwa
Mtazamo wa Kimaisha kwa Ujumla.]
□- MATUMIZI Mazuri ya FEDHA ya
Kujikimu (Boom).
-Utakutana
na Shuhuda za Mwandishi, namna alivyoitumia hiyo FEDHA Kukuza Tasnia Yake ya
UANDISHI na Kukua KIUCHUMI N.k
□- Chagua Kujiajiri, Kuajiriwa,
Kuajiri Wengine au Mchanganyiko.
-
[ NONDO Za Kukusaidia Kufanya MAAMUZI Yako Kwa Usahihi.] N.K
(III)WEWE
UNAYEONDOKA CHUONI.
#Mfano:
□- Sababu za Vijana Wengi Kukosa
AJIRA
□- Cha Kufanya ili Ukue KIUCHUMI Karne Hii
□- Kilio cha Ukosefu wa MTAJI
nchini.
□- Kwanini Watu hawafanikiwi
Kwenye MAISHA Yao ya Kila Siku. N.K
PIA KUNA UZOEFU NA
MAONI YA WANAVYUO MBALI MBALI NCHINI
-
[Juu ya Maisha waliyoyapitia Vyuoni, na Waliyokumbana nayo Mtaani baada ya
Kuhitimu Masomo Yao.]
(IV)WEWE MWANAJAMII (Mzazi,
Mlezi, Ndugu, Jamaa, Serikali Nk) Kujua Mchango Wako kwa Wanavyuo
-Mzazi
Unaweza kukisoma Ili Upate MAARIFA ya Kuwasaidia Watoto Wako na Wote
Wakuzungukao.
⭕
NI KITABU RAFIKI KWA KILA APENDAYE MAARIFA.
-Unapokuwa
unasoma KITABU hiki unakuwa unasoma Maisha ya Watu Halisi na Kupata LADHA
Orijino.
PATA
KITABU HIKI ORIJINO, HAZINA YA VIZAZI VYOTE. Kina SEHEMU NNE.
Mawasiliano!
0764- 793105/0656-107242.
LACKSON
TUNGARAZA.
KUHUSU MWANDISHI;
▪LACKSON TUNGARAZA ni
Mjasiriamali kwa Sehemu, Mwamasishaji, Mhubiri, Mwanzilishi wa LAMAX QUOTES,
Mwanzilishi na Rais wa Huduma (NYI), na Mwandishi wa VITABU Kadhaa Ikiwa ni
Pamoja na kile Kiitwacho ' #SITARUDI_NYUMA_TENA' ambacho kilianza Kusambazwa
Nchini Oktoba 2017.
-Alikuwa
akifundisha Masomo ya Ujasiriamali ICE FM Redio ya Njombe Katika Kipindi cha
'Bodaboda Chukua Utulivu' cha Kila Alhamis Asubuhi, na Pia kuandikwa katika
Gazeti la "THE CITIZEN."
-Tangu
akiwa Mwaka wa Kwanza Chuoni UDOM alikuwa hapendezwi sana na Maisha ya
Wanavyuo; Matumizi Yao ya Kifedha, Tabia, Hali zao za Kimahusiano... Ndani Yake
akawa anaumia sana Lakini hakupata Namna Nzuri ya Kufanya Maumivu hayo kuwa
Elimu. Watu Wengi huwa Wanaenda Vyuoni
na Kutoa Elimu kwa Muda Mfupi na Kuondoka na Kuwaacha Wanavyuo Wakiwa na Shida
na Maswali Kibao. Alipokuwa "FIELD" Mwaka wa Kwanza Chuoni CIVE-UDOM,
alianza Kuandaa Pointi za Msingi katika 'DIARY' Yake na Kisha Kuanza Kuandika
Hatua kwa Hatua. Na Sasa KITABU chake cha MWANACHUO DIARY Kipo Nchini kwa ajili
Yako. KITABU hicho ni Mjumuisho wa Maisha Yake, ya Wengine, Pamoja na Tafiti
mbali mbali.
Zaidi:
Fb.com/ltungaraza
na
https://lacksontungaraza.blogspot.com
#UNAPANGAJE
KUKOSA KITABU CHA "MWANACHUO DIARY"?
-JIPATIE
SASA NAKALA YAKO MAPEMA.
Mawasiliano! 0764- 793105/0656-107242.
0 comments:
Post a Comment