Tuesday, August 7, 2018

Hakuna asiyelijua hili, ya Kwamba VIJANA Wengi sana HUBADILIKA sana Kitabia wanapofika VYUONI. Kiasi kwamba kuna baadhi ya Wazazi, Walezi, Na Ndugu ambao Husikitika kwa Kuona Watoto Wao Wakichaguliwa Kuingia Vyuoni kwa masomo ya Elimu ya Juu.

.... Kubadilika kwa tabia za Wanavyuo kumefanya Jamii Iwe na Mitazamo mibaya juu ya maisha ya Vyuoni.

I.... Kuna ambao Wameapa Ya kwamba HAWATAOA AU HAWATAOLEWA na WANAVYUO kwa Sababu tu Waliona Picha chafu za kingono za Wanavyuo mbali mbali, Na Pia Kusikia na Kuona Namna Wanavyoishi Katika vyumba vyao.

II... kuna ambao Wameapa Kuacha Kuwapangisha Wanavyuo Katika Nyumba zao za kupangisha kwa Sababu ya tabia zao za Kutembea na Waume au Wake za Watu, Kupiga kelele nyingi za Muziki N.K.

III.... kuna ambao Wameacha Kabisa Kuwaajiri Wanavyuo kwa Kuhofia kuibiwa na kuharibiwa biashara. N.K

INAWEZEKANA KUNA MTU UNAYEMFAHAMU; yaweza kuwa ni MTOTO wako, Rafiki, Ndugu, Jirani, N.k.. ambaye Yuko CHUONI au ANAKARIBIA KUINGIA CHUONI, Ebu mshauri sana Apate KITABU changu KIPYA kiitwacho "MWANACHUO DIARY." Ni Kitabu Kizuri sana ambacho kitamsaidia sana Kujua Yaliyomo Vyuoni ambayo Huwafanya  Wanavyuo wengi kuwa na TABIA mbaya Mara baada ya Kufika huko.

.... Wewe MZAZI au MLEZI nawe Unaweza kupata Kitabu changu ili Ujue namna ya KUWASAIDIA VIJANA WAKO.



ANGALIZO!
......................................
UKIWALETA WATEJA 10 WA KUNUNUA KITABU CHA "MWANACHUO DIARY" BASI WEWE UTAPATA KITABU KIMOJA BURE KABISA. Hivyo, Utapata Matunda Mazuri ya kuwa Sehemu Ya Kuwafikia Vijana ndani na Nje ya Tanzania.
.........................................

Ni Mimi Rafiki Yako,
#Lackson Tungaraza
-Mjasiriamali,
-Mwandishi wa VITABU N.K
 
#Mawasiliano! 0764-793105 au
0656-197242.

0 comments:

Post a Comment

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI