Tuesday, May 7, 2019


"Wewe Mkristo: Kukaa eneo lako la biashara na Kusoma Biblia Yako ni Jambo Zuri pia, Ila Tatizo linakuja pale ambapo unapuuzia kumhudumia vizuri MTEJA wako kwa Sababu ya usomaji wako wa biblia - MTEJA anakuongelesha, lakini Wewe humwangalii usoni, unaongea naye huku unasoma Biblia. Inabidi UBADILIKE Sasa. Usipobadilika, utapoteza Wateja Wako Wote kwa Gharama ya KUPUUZIA Nguvu ya Mahusiano Mema. Tambua ya kwamba, KWA KILA JAMBO KUNA MAJIRA YAKE. Usichanganye mafaili kwa uwamuzi wako mwenyewe halafu ukabaki kuvunja roho za uchawi zinazofukuza Wateja, na wakati Wewe Ndiye mchawi wa Biashara Yako."


@LACKSONTUNGARAZA
Fb.com/ltungaraza
#BiasharaMauzo #LamaxLibrary

Related Posts:

  • UNAKIMBIA KWA STAILI GANI? Moja ya tafsiri za Maisha nilizowahi kuzisoma na kuzisikia ni kwamba Maisha ni Mbio. Cha kujiuliza, “Unakimbizana na nani?” Nimegundua ya kwamba Maisha ni Mbio ambayo Mshindani ni wewe mwenyewe… unajipulizia mwenyewe kipen… Read More
  • SIRI INAYOVUTA MAFANIKIO SIRI INAYOVUTA MAFANIKIO  Nitakuwa muongo sana kama nikisema ya kwamba hamna mtu anayependa Mafanikio, hata wewe umechukua muda wako kusoma makala hii kwa sababu unapenda kufanikiwa kupitia hii Siri Inayovuta Mafa… Read More
  • LIFE IS A PROCESS [Maisha Ni Mlolongo Wa Mambo] Ni nini maana ya neno ‘Maisha?’ Kila mtu anaweza kutoa maana ya neno Maisha kwa yale aliyoyapitia, anayoyapitia au anayotarajia kukutana nayo mbeleni. Maisha yanamaana nyingi sana na kulingana na mtazamo wa kila mtu, ja… Read More
  • PATA MAARIFA KWA KUWA MKIMYA ~ Wanadamu hata siku moja haitawahi kutokea tukawa sawa kimtazamo, kimienendo..never. Unaweza ukajiulza mbona Mimi ninajiheshima, mpole, mvumilivu lakini huyu ndugu yangu ni mkorofi sana, mlevi, mbeya, mzinzi n.k. Hyo … Read More
  • KUWA STARRING WA MAISHA YAKO. ~Nilipokuwa mtoto nilipendelea sana kutazama muvi za ngumi ( action movies), katika kuangalia kwangu nilishangaa kuona ya kwamba muhusika mkuu wa Muvi ambaye ndiye anaitwa STARRING alikuwa hafi hata kama amekutana na maj… Read More

0 comments:

Post a Comment

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI