Tuesday, May 7, 2019


(I) Itakusaidia katika KUCHAGUA VYEMA Aina ya Vitabu Vitakavyokusaidia katika KUNOA UWEZO ULIYOMO NDANI YAKO-Kipaji, Karama, Kipaji, na Huduma.

VITABU VIPO VINGI SANA Tanzania na duniani kote, lakini SIO VYOTE VIKUFAAVYO, kama vile ambavyo Mwanamke mmoja Hawezi Akamfaa kila Mwanaume kuwa nae katika Ndoa hata kama Kaumbika kwa Namna Nzuri na ya Kupendeza sana – kwa sababu “Uzuri wa Sura Hautafsiri Usafi wa Moyo” –Lamax.

Kwa hiyo jambo la kwanza kabisa kabla ya kuanza USOMAJI WA VITABU NI "KUJITAMBUA."
Usijeukawekeza Nguvu zako nyingi kwenye Kusoma Vitabu vya Ufugaji wa Samaki na Wakati unatakiwa kuwa Mchezaji wa Mpira wa Miguu.

Kumbuka: USIPOJUA UNATAKIWA KUFANYA NINI KWENYE HAYA MAISHA YA HAPA DUNIANI, BASI UNAWEZA UKAPATA TAABU SANA KWENYE ENEO LA USOMAJI WA VITABU.

#Zaidi ya hapo JIPATIE KITABU CHA "NAMNA YA KUSOMA KITABU - How to Read A book" cha LACKSON TUNGARAZA kwa Mfumo wa PDF Leo ili UNUFAIKE zaidi. Unapitwa na mambo mazuri Mengi sana kwa Kutokujua Usomaji mzuri wa Vitabu.


Mawasiliano ya kupata Kitabu: 0764793105, au https://wa.me/255764793105 Kwa WhatsApp.
USHINDWE MWENYEWE.


Related Posts:

  • JIPATIE VITABU_BORA_2019. Kitabu cha Kwanza: "MBINU 16 ZA KUONGEZA MAUZO KWENYE BIASHARA YAKO.". - Ndani ya Kitabu hiki Utapata Mbinu 16 za uhakika za Kukusaidia katika Kuongeza Mauzo (SALES) kwenye Biashara Yako yo yote Ile uifanyayo Mtan… Read More
  • BEHIND THE SCENE. Nakumbuka Wakati nilipokuwa Field ya mwaka wa pili St. John's University of Tanzania  (SJUT) iliyopo Jijini Dodoma, ndiyo Wakati nilipopata wazo  (idea) la Kuandika Kitabu ambacho kitawasaidia Vijana wenzangu Wengi… Read More
  • "JIAJIRI UPATE UHURU WA KIFEDHA NA KIUCHUMI” - Mzungumzaji, au Mwalimu. Mwanzoni Uliamini ya kwamba KWA KUJIAJIRI ndipo UTAPATA UHURU WA KIFEDHA na KIUCHUMI. Ukakataa KUAJIRIWA kwa Sababu ya kasoro Yake ya KUWEKEWA UKOMO WA FEDHA UNAYOINGIZA (Income) kutoka kwa MWAJIRI wako. LAKINI LEO! … Read More
  • DEREVA BODABODA NA WAFANYABIASHARA WOTE Siku Moja nikiwa Nyumbani kwa Wazazi Wangu, nilipata nafasi ya kwenda kusema na Vijana wa Shule Jirani ambayo ilikuwa mbali Kidogo. Kwa dhumuni la kuwahi, nikaamua kutafuta Bodaboda (Pikipiki). Baada ya Muda Mfupi, nikaipat… Read More
  • FIKRA POTOFU ZA WATANZANIA WENGI JUU YA UNUNUZI WA VITABU Mwalimu Emmanuel Makwaya aliwahi kusema ya kwamba, "HUNUNUI KITABU CHANGU KUNIPA MIMI FAIDA, BALI KUUPA UFAHAMU WAKO FAIDA" Kuna Watanzania Wengi Leo ambao hudhani Kununua Vitabu ni Kuwatajirisha Waandishi wa Vitabu. Uta… Read More

0 comments:

Post a Comment

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI