Wednesday, May 8, 2019


Mtu anakwambia "HII FURSA HAIKUHITAJI KUFANYA KAZI KWA BIDII. WEWE UKISHAJIUNGA, MAMBO MENGINE YOTE TUTAKUFANYIA SISI." Hapo Umeliwa.
VIJANA Wengi sana wa kitanzania HATUPENDI KUFANYA KAZI KWA BIDII NDIO MAANA HUWA TUNAKAMATIKA KIRAHISI SANA.

Na hiyo ni sababu kubwa sana ya BIASHARA YA KUBETI KUSHIKA SANA KASI NCHINI MWETU. Kila Siku unasikia namna mpya ya Kubeti.

#Zaidi ya Yote: Ikiwa Unataka Elimu kama hizi za biashara na Fursa, JIPATIE KITABU CHA "MBINU 16 ZA KUONGEZA MAUZO KWENYE BIASHARA YAKO" kwa Gharama nafuu kabisa. Njoo WhatsApp kwa kubofya hii LINK ili kupata Kitabu: https://wa.me/255764793105.

0 comments:

Post a Comment

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI