Sunday, March 3, 2019


Kuna Watu ambao hudhani ya kwamba Watu ambao huwa Wanaitwa kufanya "Show" (Onesho) mahali fulani, Kuimba, Kuhamasisha, kuchekesha, kuhubiri, na kufundisha - HUWA WANA BAHATI SANA. Kitu ambacho Sio Kweli Kabisa.

Hata nami mwanzoni nilidhani ya kwamba akina Diamond Platiumz, Angel Benard, Goodluck Gozbert, Martha Mwaipaja, MC Pilipili, Ruge, Masanja Mkandamizaji (Emmanuel Mgaya), Joti, Zembwela, Nandy, Joel Nanauka, Antony Luvanda, Shigongo, Amina Sanga, na wengine Wengi, ya kwamba Wana Bahati sana; Yaani, Kila mahali Wanaitwa Wao kuongea na Vijana, kuhamasisha na kuwaburudisha Wafanyakazi, n.k. Lakini Siku nilipojua ya kwamba KILA MTU ANA BAHATI (Luck), na Sio bahati inayomfanya Mtu afanikiwe, Mtazamo Wangu ulibadilika kabisa. Ama kweli Usilolijua ndilo Likutesalo!

Inawezekana Nawe Umekuwa ukimlalamikia Mungu kwa nini hakukupatia bahati ya kuhitajika sana kwenye Jamii Yako. Una Kipaji lakini Kila wakati huzipati FURSA, na huwa zinakupita zinapokuja. USIWE NA SHAKA KABISA kwa Sababu "L4M" inakuletea Semina kubwa ya Siku Tatu (3) kwa njia ya WhatsApp, kuanzia tarehe 4 hadi 6, March 2019. MADA ZITAAZOKUWEPO NI PAMOJA NA;

(1) MAMBO UNAYOPASWA KUJUA KUHUSIANA NA "FURSA", hasa WAKATI HUU AMBAO ZINAKUJA FURSA ZA KILA AINA.

(2) NAMNA YA "KUNUFAIKA" na FURSA ZINAZOKUZUNGUKA KILA SIKU.

Ili Uweze Kuungwa kwenye kundi hilo WhatsApp la Semina, TUMA UJUMBE WAKO WA "FURSA" kwenda namba "+255764793105" [Iliyopo WhatsApp].
SEMINA HIYO NI BURE KABISA (Hakuna Kiingilio cha Pesa).


Kumbuka: Usitume Ujumbe kwa Meseji za kawaida, Bali kwa njia ya WhatsApp.
Karibu sana. WAHI MAPEMA. Jiunge Leo.
@LACKSONTUNGARAZA

Related Posts:

  • "SIRI ZA MAFANIKIO!" (Lackson Tungaraza) ▪Zipo Siri nyingi sana za Mafanikio zilizokuwepo, zilizopo, na zitakazoendelea Kuwepo Siku zote maadam Watu Wanaendeleo kufanya Tafiti na kufanikiwà. ▪Kufanikiwa Kimaisha hakukuhitaji Kujua kwanza Siri zote za Mafaniki… Read More
  • " SIRI ZA MAFANIKIO! " (Sehemu ya Pili) Wakati uliopita tuliangalia namna ambavyo Akili ikitumika ipasavyo inaweza ikamfanya mtu akatumikiwa na wenye nguvu nyingi za Mwilini. Tuliona namna ambavyo Lionel Messi huwatesa Wachezaji wengi wa timu pinzani kwa sababu ya… Read More
  • JE UNAPENDA FURSA ZA AINA GANI ? Kila Mtu hupenda kupata FURSA nzuri ambayo Itabadilisha Maisha Yake.Ikiwa kuna mtu ambaye hana hiyo shauku ndani yake, basi Inawezekana akawa na Matatizo fulani Moyoni mwake kwa Kutokujua Umuhimu wa Fursa au kwa Sababu ya C… Read More
  • USILOLIJUA NDILO LIKUTESALO! Kuna Watu ambao hudhani ya kwamba Watu ambao huwa Wanaitwa kufanya "Show" (Onesho) mahali fulani, Kuimba, Kuhamasisha, kuchekesha, kuhubiri, na kufundisha - HUWA WANA BAHATI SANA. Kitu ambacho Sio Kweli Kabisa. Hata nami… Read More
  • LIVING FOR MANY ONLINE SEMINAR - SEMINA BOMBA YA KIUCHUMIMwenye hekima mmoja alisema ya kwamba,  “sababu ya msingi inayowafanya watu wafeli kwenye maisha ni kutoweka Mipango mipya ya kuwaondoa kwenye Mipango ile ya awali iliyowakwamisha.” Naamini kuna mipango kadhaa uliyop… Read More

0 comments:

Post a Comment

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI