Thursday, January 24, 2019
UJASIRIAMALI WA KISASA KABISA UJASIRIAMALI UNA MAANA NYINGI, LAKINI UNA MALENGO YANAYOENDANA, AMBAYO NI MAENDELEO YA KIUCHUMI. Naamini nawe una mtazamo wako katika hili, ila achana na mambo mengi, ingia kwenye UTENDAJI baada ya kupata dondoo kadhaa kupitia hii video. Usisahau Ku_Subscribe
Related Posts:
USIPOKUWA TAYARI KUPOTEZA #PESA, BASI USIINGIE KABISA KWENYE UWANJA WA KUFANYA BIASHARA AU KUCHANGAMKIA FURSA. A- Kwenye biashara kuna kukuru kakara nyingi sana. Unaweza Ukapoteza pesa zako zote ulizoanzishia. B- Fursa yo yote Ile ina Hatari ya kupata HASARA kabla ya FAIDA, tofauti Ipo kwenye Asilimia. C- Mradi/BIASHARA yeny… Read More
JIPATIE VITABU_BORA_2019. Kitabu cha Kwanza: "MBINU 16 ZA KUONGEZA MAUZO KWENYE BIASHARA YAKO.". - Ndani ya Kitabu hiki Utapata Mbinu 16 za uhakika za Kukusaidia katika Kuongeza Mauzo (SALES) kwenye Biashara Yako yo yote Ile uifanyayo Mtan… Read More
"FURSA INAYOKUHAKIKISHIA KUFANIKIWA BILA KUFANYA KAZI KWA BIDII - NI SHIMO LA KUKUANGAMIZA." Mtu anakwambia "HII FURSA HAIKUHITAJI KUFANYA KAZI KWA BIDII. WEWE UKISHAJIUNGA, MAMBO MENGINE YOTE TUTAKUFANYIA SISI." Hapo Umeliwa. VIJANA Wengi sana wa kitanzania HATUPENDI KUFANYA KAZI KWA BIDII NDIO MAANA HUWA TUN… Read More
KUWA MC (Master Of Ceremony) "UKITAKA KUWA MC (Master Of Ceremony) UNAYEPENDWA ZAIDI MJINI, Unapaswa Kuwa na SIFA Mbili Kuu; (I) Uwezo wa Kuwafurahisha Watu, Hata kama ni kwa Mambo ya Kijinga na Yasiyokuwa na maana. (II) Uwezo wa Kuwafanya Watu W… Read More
HIVI UNAZIJUA FAIDA ZA KUFANYA KAZI KWA BIDII? TAJIRI MKUBWA SANA DUNIANI AITWAYE SULEMANI Alisema hivi; A) Atendaye Mambo kwa Mkono mlegevu huwa Maskini (Kwa hiyo kuwa Maskini ni Matokeo ya kufanya mambo kwa Ulegevu/Unyonge/Liwalo na Liwe); Bali MKONO WAKE A… Read More
0 comments:
Post a Comment