Sunday, March 3, 2019


Kila Mtu hupenda kupata FURSA nzuri ambayo Itabadilisha Maisha Yake.Ikiwa kuna mtu ambaye hana hiyo shauku ndani yake, basi Inawezekana akawa na Matatizo fulani Moyoni mwake kwa Kutokujua Umuhimu wa Fursa au kwa Sababu ya Changamoto alizokutana nazo hapo Awali.

Kila Siku kuna Fursa Mpya kwenye mitaa tunayoishi, na zingine kutangazwa kwenye Vyombo vya Habari. Lakini cha Ajabu ni kwamba, HAKUNA FURSA INAYOKUJA NA UJUMBE USEMAO, "Mimi ndiyo Fursa ya kukupatia Faida Siku zote bila Hasara" , au "Mimi ndiyo Fursa itakayokupatia HASARA kubwa sana ambayo hutaisahau katika Maisha yako, kwa hiyo Usinichukue, Tafuta Fursa nyingine." Na hivyo kumtaka mhusika mwenyewe kupima ni ipi Fursa nzuri na ipi iliyo mbaya.

 Lakini Tatizo ni kwamba SIO WOTE WALIO NA UWEZO WA KUTAMBUA FURSA NZURI na KUKATAA ZILIZO MBAYA. Na kwa Sababu ya Kutokujua, WATU WENGI WAMELIWA PESA ZAO NA KUBAKI NA MAJONZI MAKUBWA. Mimi Lackson Tungaraza  (Lamax) naye ni Muhanga wa hilo - Kuna Fursa nilizoziamini lakini zilinipatia majonzi makubwa Moyoni mwangu.


Sitaki tena wawepo Watu watakaolizwa Mjini kwa kutokuwa na maarifa sahihi ya Kuwasaidia juu ya Uchaguzi wa Fursa zinazowazunguka Kila Siku Mitaani na Mitandaoni. Kwa hiyo nimekuandalia SEMINA KUBWA YA SIKU 3 WhatsApp ambayo itakusaidia sana kwenye...

 ( I ) Mambo Unayopaswa Kujua kuhusiana na Fursa, hasa wakati huu ambao zinakuja fursa za Kila aina.

( II ) Namna ya Kunufaika na Fursa zinazokuzunguka Kila Siku.


Karibu sana.Tuma Ujumbe wako wenye neno "FURSA" kwenye nambari "0764793105". WAHI MAPEMA.Semina inaanza Jumatatu Jioni tarehe 4 hadi Jumatano tarehe 6, March 2019.
@LACKSONTUNGARAZA

Related Posts:

  • JE UNAPENDA FURSA ZA AINA GANI ? Kila Mtu hupenda kupata FURSA nzuri ambayo Itabadilisha Maisha Yake.Ikiwa kuna mtu ambaye hana hiyo shauku ndani yake, basi Inawezekana akawa na Matatizo fulani Moyoni mwake kwa Kutokujua Umuhimu wa Fursa au kwa Sababu ya C… Read More
  • " SIRI ZA MAFANIKIO! " (Sehemu ya Pili) Wakati uliopita tuliangalia namna ambavyo Akili ikitumika ipasavyo inaweza ikamfanya mtu akatumikiwa na wenye nguvu nyingi za Mwilini. Tuliona namna ambavyo Lionel Messi huwatesa Wachezaji wengi wa timu pinzani kwa sababu ya… Read More
  • "SIRI ZA MAFANIKIO!" (Lackson Tungaraza) ▪Zipo Siri nyingi sana za Mafanikio zilizokuwepo, zilizopo, na zitakazoendelea Kuwepo Siku zote maadam Watu Wanaendeleo kufanya Tafiti na kufanikiwà. ▪Kufanikiwa Kimaisha hakukuhitaji Kujua kwanza Siri zote za Mafaniki… Read More
  • USILOLIJUA NDILO LIKUTESALO! Kuna Watu ambao hudhani ya kwamba Watu ambao huwa Wanaitwa kufanya "Show" (Onesho) mahali fulani, Kuimba, Kuhamasisha, kuchekesha, kuhubiri, na kufundisha - HUWA WANA BAHATI SANA. Kitu ambacho Sio Kweli Kabisa. Hata nami… Read More
  • LIVING FOR MANY ONLINE SEMINAR - SEMINA BOMBA YA KIUCHUMIMwenye hekima mmoja alisema ya kwamba,  “sababu ya msingi inayowafanya watu wafeli kwenye maisha ni kutoweka Mipango mipya ya kuwaondoa kwenye Mipango ile ya awali iliyowakwamisha.” Naamini kuna mipango kadhaa uliyop… Read More

0 comments:

Post a Comment

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI