Ndugu zangu maisha ni kusonga mbele, usikubali
kusimama kwa lolote!..
Anza kutambaa, tembea, kimbia na ikiwezekana paa
lakini usikubali kusimama..moja ya usafiri wako ni kutumia fursa zinazopita mbele
yako.Ni Mara ngapi umeambiwa juu ya fursa za kibiashara na unasema nitaanza
kesho? Kila siku kesho na haijafika hadi Leo.Ndugu maisha ni safari chagua
usafiri utakaokufikisha salama,..
Mimi kipindi naanza safari ya biashara niliwaza
kwanza hivi hizi fursa ninazoambiwa ni wangapi pia wameambiwa?.. Nikajua ni
wengi lkn mbona siwaoni wakifanya basi!!.. Kumbe ndo wale wale wa
"NITAFANYA KESHO BADO NAWEKA MAMBO SAWA!!"
Mambo unaweka sawa na umri unaenda, nguvu ulizonazo
Leo sio za kesho, je urithi wa kudumu kwa watoto wako ni upi maana ajira yako
mfano udaktari, ualimu n.k huwezi mrithisha mwanao?.. Ili ufanikiwe ni lazma
utumikishe ubungo wako yaan"FIKIRI".. KILA SHUJAA TUNAEMKUMBUKA LEO
MATHARANI NYERERE, MANDERA NI KWASABABU WALIKUWA WANATUMIKISHA UBUNGO/FIKIRI
NDO MAANA WAKATOKA NA MAWAZO YA UKOMBOZI HATA LEO BADO TUNAYAFAIDI
HEBU CHUKUA MUDA UKAE PEMBENI BINAFSI UANZE UPYA
SASA, HATUWEZI RUDISHA MUDA ULIOPOTEZA KWA MAMBO YASIYOTENGENEZA FUTURE YAKO...
Ni imani yangu LACKSON ya kwamba Mafanikio na hali nzuri ya kiuchumi iko
mlangoni inabisha HODI inakusubiri wewe huifungulie ili ikae nawe na ukichelewa
JIRANI yako atafanya..
Kwa ushauri na support waweza ni ADD kuwa rafiki
yako Facebook "Lackson Tungaraza" au kwa Whatsapp:0764793105 pia
kumbuka ku LIKE ili uzidi kupata makala hizi na pia SHARE ili wengi tupate
elimu hii.
#NewLifeChapter #LamaxDesigns #LamaxQuotes
0 comments:
Post a Comment