“JINSI YA KUFANYA BIASHARA YAKO KUWA YA TOFAUTI NA YENYE MVUTO MKUBWA”
Tunashindwa kuongeza vipato vyetu kwa sababu biashara zetu hazina mvuto.
Tunapoendelea kufungua vyanzo vingine vya vipato kwa kutumia mbinu zile zile, tunaendelea kufeli zaidi na hata kukata tamaa kwa sababu ya kukosa wateja kwa kile tunachokifanya
Hivyo badala ya kukimbilia mikopo kwa ajili ya kuanzisha biashara nyingine, ni bora tukajifunza mbinu za kuifanya biashara yako kuwa ya tofauti na Mvuto Mkubwa kwa Wateja
Biashara inapokuwa na Mvuto na Utofauti ni rahisi sana kupata Wateja na pato lako kuongezeka
JE! UNAPENDA KUENDELEA NA SOMO HILI?
Haina shida, pakua hapa chini ili ujisomee hata ukiwa hauna intaneti.
Kuwa rafiki yangu facebook: www.facebook.com/ltungaraza
0764793105 [Mawasiliano]
0 comments:
Post a Comment