*
Uhusiano wa Binadamu na Panga*
Ukitaka
kujua ukali wa Wembe, sugua kidole chako kwenye upande wa Makali yake. Vivyo
hivyo na kwa binadamu, huwezi ona makali yake kwa sasa hadi pale Makali yake
yatakapoonekana.
Binadamu
ni Kama Panga ambalo halijanolewa pale anapozaliwa. Hivyo unaweza lidharau na
hata kulichezea chezea ovyo, na utumia muda mwingi kukata kitu.
Lakini
Panga hilo linaponolewa, ndipo makali yake huonekana na kuwa ngumu tena kwa mtu
kulichezea na kulishika shika ovyo. Wakati huo hata wazazi huwakataza watoto
wao kuchezea hilo Panga. Panga lenye makali hukata miti na vitu vingne kwa muda
mfupi sana.
Unaweza
kujiona kama hufai vile ndani ya jamii, umaskini ni jambo la kawaida kwenu,
biashara ukianzia inakufa n.k
Kumbe
ni sababu bado haujanolewa kuongeza makali yako.
Wewe Ni Panga la aina gani? |
Michael
Jordan kabla hajawa na makali, alikataliwa na mwalimu wake ya kwamba hafai
kuwepo katika timu yake, Lionel Messi naye ikawa hvyo na akaanza kutafuta njia
za Kujinoa kwa kutoa pesa yake aliyopata baada ya kazi.
Rambo
muigizaji wa video za ngumi na bunduki, alimuuza hadi Mbwa wake na alionekana
hafai kwa wakati huo... Panga lilikuwa bado butu.
Erick
Shigongo aliitwa Madaso kwasababu ya bukta aliyokuwa akivaa shuleni ilikuwa
inamatobo kwa nyuma, Shemeji Melayeki alikuwa akishindia Sukari akikoswa msosi
na walionekana wa kawaida sana... Today those people are Role Models and
Mentors of the people that mocked and isolated them.
Life
is a beautiful race. You might start the first and finish the Last, and
vice-versa.
~Lackson Tungaraza Quoted.
Always
say to yourself, *IT'S NOT OVER UNTIL I WIN* just as Les Brown once said.
*Any
time you Sincerely want to make a Change, the first thing you Must do is to
Improve your Standards*--Tony
Robbins
Usikate
tamaa, jinoe kuongeza Makali yako maana wewe ni Kama Panga.
#Sharpen
your Self-being
#You
are capable of doing much more than what you are doing now.
#Release
your Potential.
JE UNAPATIKANA DODOMA?
Ikiwa
unapatikana Dodoma kwa kipindi hiki, karibu katika kampeni ya *DODOMA
KITAELEWEKA TU* Ambapo tutakutana kwa pamoja sehemu Moja kama
tutakavyokubaliana.
=Tutashirikiana
katika Kupeana mbinu za Kimaisha kama Wapenda Màendeleo, ukizingatia hapa ndipo Makao makuu ya
Serikali.
=
Utapata Muda wa Kuniona na kunifahamu vyema (Lackson Tungaraza). Na pia nami
nitakufahamu vyema. Ni channel ya Kupata Madini Adimu.
=Njio
na ushuhuda, Somo, Fursa n.k. na tuko tayari Kukupa nafasi na kukusikiliza.
Nini
chà Kufanya?
Niandikie
Ujumbe wa SMS kwa nambari 0764793105. Andika Jina lako na Mahali ulipo kwa hapa
Dodoma.
*Itafanyika
weekend, unayefanya Kazi haitakuzuia. Baada ya kusema utakuwepo, ratiba
utapata. Ni vyema pia uniambie kama Namba yako hiyo ya Simu inapatikana
Whatsapp au la.
Kazi
Njema.
Tz
Mpya.
0 comments:
Post a Comment