Kwa kawaida kila mtu huwa anatamani na
anapenda ya kwamba akitenda jambo, baadae Akumbukwe kwalo. Ikiwezekana hata
watu kadhaa watoe shuhuda za jambo hilo. This a human character.
Unataka
kukumbukwa kwa lipi? Kwa kawaida, katika misiba huwa wanapewa watu kadhaa
kuongea juu ya maisha ya marehemu, siyo watu wote.... Nadhani ulishashuhudia
hilo, kama bado nenda kahudhurie mazishi.
Chukulia
sasa, wewe ndiye uko kwenye Jeneza na watu wafuatao wakapewa nafasi ya kusema
juu yako-Historia ya marehemu. Watu hao ni;
Nduguzo/Familia-Kaka, Dada, bibi, babu,
watoto, shangazi n.k..
Rafiki
yako wa Karibu
Mwanafunzi/
Mfanyakazi mwenzio
Mhumini
mwenzio-Unayesali naye.
Mkeo
Kwa
kiasi kikubwa, hawa ndiyo watu wanaokujua zaidi kulko wale unaokaa nao
kijiweni, sokoni, mkutanoni n.k.
Unapenda waseme nini
kuhusu wewe?
✍Anza
sasa Kuandika Historia ya marehemu {mtarajiwa, ambaye ni wewe }.
‼Unachoishi
na Kutenda, ni sehemu ya historia yako. Andaa historia yako kuanzia sasa.
Remember
that:
The
fact that you were born is evidence that God knew earth needed the potential
you are pregnant with.
The
price of greatness is responsibility.
#How
can you rest in peace if you died with all your potential inside?
What
lies behind you is History and what lies before you is Future, but these are
both tiny matters compared to what lies within you.
SOMA: SIRI INAYOVUTA MAFANIKIO
SOMA: SIRI INAYOVUTA MAFANIKIO
#You
may not be able to change your past, and your future is yet unlived, but the
present provides you with opportunities to maximize your life and the ability
that lives within you. You must take responsibility for your ability --no 0ne
else can do it for you.
#NAIONA_TANZANIA_MPYA.
MIMI NI MSHINDI KAMA WEWE ULIVYO.
Zaidi,
Soma Katika link hii:
0764793105 WhatsApp
0 comments:
Post a Comment