Saturday, September 19, 2015

..Baada ya utafiti wa muda mrefu juu ya biashara gani ningeweza kufanya ili niweze  kujikimu kimaisha ukizingatia kwamba kwanza nilikuwa bado masomoni na pesa ya kujikimu na kulipia ada ilikuwa shida kwani mikopo pia inasumbua.Ni wengi sana wako vyuoni au mashulen wanapata pesa za mikopo na wanasema eti haitoshi,sasa unajiuliza mwanzoni kabla hajaenda shulen alikuwa anafanya kazi bank au TRA hadi kazoea pesa hvyo au wapi?.Lkn jibu ni moja tu ukosefu wa uelewa juu ya kujitengenezea mifereji ya pesa yako mwenyewe bila kuwa tegemezi.

..Baada ya kutafakari haya,siku moja iliweza badili historia ya maisha yangu kwasababu kupitia facebook niliweza kupata semina ya Ujasiriamali ya "Uwekezaji ktk soko la Hisa ", niliyoambiwa naweza kuwa boss wa biashara yangu kwa kianzio cha shilingi 26000/- tu na kuwekeza utajiri wa kudumu.Sikuamini kama ambavyo wengi wetu wanaona kama biashara ya mtandao ni uhuni au biashara hewa.Baadae nikawaza na kusema ni kiasi gani cha pesa nilichowahi kuharibi ktk kununua vitu visivyokuwa na maana kwangu au ktk starehe za muda tu?, ni pesa nyingi kwa kweli.Nikaona ni bora nichukue hatua ya imani kujaribu bahati yangu ya kuwa na pesa yangu ya uhakika, ndipo nikatoa pesa yangu 26000/- kuanza safari yangu mpya ya mabadiliko nje ya umasikini.


ZIFUATAZO NI SABABU

=Ni biashara pekee isiyo na ubaguzi wa kiwango cha elimu kama chuo kikuu au leseni ya biashara bali utayari wa mtu na jitihada zake na uwezo wa kujifunza kutoka kwa wengne.Hii biashara unakutana na watu wenye elimu na mitazamo chanya hvyo nilijulishwa kila kitu juu ya mafanikio na njia zake

=Ni biashara pekee yenye RISK NDOGO lkn faida kubwa, yaani 26000/- tu kunitoa kimaisha?, ukiangalia mifumo mingne ya biashara mfano kuwa wakala wa Vodacom itakuitaji ununue TIN No. kwa kiasi cha laki mbili hadi mbili na nusu ili uanze kupata service/huduma pia nilikuwa na mipango mingi kama ufugaji wa kuku lkn tatzo mtaji huo wote ntatoa wapi na vyakula vya kuku itakuwaje?Nikachukua hatua

=Ni biashara pekee yenye uwekezaji mkubwa kwa gharama ndogo, fikiria unawaza  kumiliki kampuni yako au duka kubwa la nguo na kadhalika mtaani kwako,ni kiasi gan  cha pesa unahitajika kuwa nacho ili kuweza kuwaridhisha wateja wako kihuduma? NI  KIASI KIKUBWA SANA AMBACHO UNAWEZA HATA KUINGIA KTK MADENI lkn UNUNUAJI WA HISA ni  daraja la wewe kufikia ndoto zako hzo kwani utaweza kupata bonus/fidia ya gharama  ulizotumia kununua bdhaa na kupitia team ya watu uliowashirikisha biashara ambao  watakulipa maisha yako yote.Hvyo hyo pesa ya faida utaweza fungulia biashara yako uipendayo wewe.

= Ni biashara pekee unayotumia bdhaa na bado unapata faida na pia inapunguza  mzunguko wa bdhaa.Jiulize ni wapi ambapo unaweza nunua mfano sabuni ukatumia na bado pale uliponunua ukapewa fidia,hakuna.Hata Bakhresa ukinunua kwake mzigo wa  milioni hakupi hata 50000/- ya fidia kwa gharama uliotumia kununua.Hili jambo pia  lilinivutia lkn pia bdhaa zangu nachukua moja kwa moja ktk kampuni yangu bila kusumbuliwa na wauzaji wa jumla.

=Ni biashara pekee inayolenga kuimarisha hali ya kiuchumi na kiafya ktk jamii.Hii  niliiona kupitia kampuni ya Nepstar pekee.Kwanza ninapokea malipo ya shughuli ninayofanya hata kwa kuongea na watu lkn pia bdhaa ninazotumia ni imara na hazna madhara yoyota kwa binadamu pia hizi bdhaa zinatibu kabisa magonjwa tabia kama VIDONDA VYA TUMBO,NGUVU ZA KIUME, KISUKARI, MATATIZO YA HEDHI KWA WANAWAKE, PRESHA,MATATIZO SUGU YA NGOZI n.k ambayo siyo magonjwa ambukizi.Hvyo natumia mwenyewe na bado napata faida yangu/bonus lkn pia nawashirikisha na wengne kama jirani,ndugu n.k.JIULIZE ,UMEPOTEZA MUDA KIASI GANI KUONGEA KIJIWENI AU SALON MAMBO MENGI NA HAULIPWI NA PIA HAMNA THAMANI YAKO UNAYOONGEZA KTK JAMII YAKO?
..Anza leo utaona maajabu niliyo yaona mimi ndani ya miezi mitano niliyofanya hii biashara kupitia kampuni ya NEPSTAR

SMS/WHATSAPP:0764793105
EMAIL/BARUA PEPE: lacksontungaraza@gmail.com
WEBSITE: lacksontungaraza.blogspot.com
TWITTER: @lacksonthecoach

karibu sana nikupe mwongozo wa bure kabisa na maisha yako hayatabaki hvyo yalivyo leo, hata kama umeajiriwa lkn ujasiriamali ni wa kila mtu.WEKEZA KATIKA SOKO LA HISA, HUU NI UTAJIRI WA KUDUMU
NIKIWA OFISINI NEPSTAR

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI