Saturday, September 26, 2015



NAPENDA KUWASHIRIKISHA JAMBO HILI.
Wazazi/walezi wetu tukiwa wadogo tulikuwa tuambiwa nenda shule mwanangu, soma kwa bidii
zote ukiwa wakwanza darasani nitakupa zawadi. Soma kwa bidii upate alama nzuri darasani, cheti
kizuri ili uje upate mshahara mzuri. Ni kweli lakini naomba niwaulize maswali machache tushirikiane kuyajibu kwapamoja. Ni imani yangu kuwa wengi wetu tunakiu ya mafanikio makubwa katika maisha, kuishi tunavyotaka, kuendesha magari mazuri nyumba nzuri, kula tunavyotaka.nk
Tajiri nani amewahi kuwa kwenye rank ya matajiri tanzania, East Africa, Africa, worldwide kwa kulipwa mshahara mzuri? Au kwa kuwa na cheti kizuri? Ni imani yangu kuwa wengi tunasoma tukiwa na fikra zakuja kuajiriwa, kulipwa mshahara mzuri. Lakini haya yote ni maisha yakufikirika hayana uhalisia ndani yake.Jiulize watu wangapi wamesomea fani yako lakini mbaka leo hawajapata kazi nzuri unayo ifikiria wewe ambaye bado ukoshule? Mfano rahisi, kama masomo kwa vitendo "practical training" ambayo hulipwi na kampuni unalipwa na bodi ya mikopo Tanzania inasumbua  , je ajira itakuwaje?

Chukulia umeajiriwa na kampuni fulani, utaifanyia kazi kwa mudagani? Muda wowote unaweza
kuambiwa ondoka hatukuhitaji tena, utaenda wapi?Umri wa kustaafu ni miaka 50-55
, bado kijana mwenye nguvu kabisa, tuseme umefanya kazi miaka 20, yakuajiriwa, Mungu akukuchukua,familia yako umeiachia urithi gani wakudumu? Au Mungu akakujaalia uishi hadi miaka sabini hadi themanini, je kipato chako kitatoka wapi cha kujikimu mahitaji yako na familia yako na kazi umeachishwa au umestaafu miaka 20-30 iliyopita?



Usijidanganye kuwa ati ukiajiriwa utakuwa utaendesha pia biashara zako kirahisi, haukuna bosi
anye penda ufanye kazi yake nusu nusu,makampuni mengi yanahitaji mfanyakazi afanye
kazi muda kama ulivyopangwa.Tunahitaji kufikiri zaidi, kutazama kwa jicho la tatu
Najua watu wengi hatupendi biashara hasa biashara ya karne tuliyopo, yaani karne ya 21
biashara ya mtandao(network marketing).Lakini tunapenda sana na tumavutiwa sana na hadithi za watu walio fanikiwa katika biashara hii,ndugu zanguni nataka niwaambie Hakuna mtu aliyewekewa alama ya kuja kuwa tajiri,Mungu amekupa akili na utashi wa kuchanganua mambo mema na mabaya. Yapo makampuni mengi sana yanayofanya network marketing, soma uyaelewa na ufanye uchaguzi sahihi. Utajiri au umasikini upo mikononi mwako.Napenda kusema

KUZALIWA MASIKINI SIYO KOSA LAKO BALI KUFA MASIKINI NDILO KOSA LINALO KUSUTA WEWE.
Ndugu zanguni ujasiriamali ndio njia pekee yakukufanya ujikwamue na maisha yaleo. Biashara
ya mtandao itakupa uhuru wa muda na kipato pia maisha unayotaka kuishi.Napenda kusema japo narudia kwenye somo lililo kwisha pita.Kampuni hii nirahisi kujiunga kuliko kampuni nyingine yoyote ile,ni kampuni pekee iliyo ona halihalisi ya mtanzania hata ikaweka vigezo rahisi.

Kwa anayetaka kuji unga gharama za kujiunga ni 26,000 tuhapo ndipo safari ya mabilion inanzia.
Unaweza kujiunga mahali popote ulipo hofu na mashaka ondoa, Uzuri wake ni kwamba bidhaa zetu ni imara na borankabisa, unaanza kuona matokeo yake muda mfupi tu baada ya kuanza kutumia.

0764793105 kupata maelekezo ya kujiunga na kuanza safari yako ya mafanikio, pia ipo Whatsapp

Related Posts:

  • SIRI ILIYOPO KATIKA UTENDAJI -------------------------------------------------------------------------------------------------------------- -------------------------------------------------------------------------------------------------------------- … Read More
  • IFANYE BIASHARA YAKO KUWA YA TOFAUTI NA YENYE MVUTO MKUBWA LACKSON TUNGARAZA KATIKA HARAKATI ZAKE ZA KUTOA HUDUMA YA VIATU Tunashindwa kuongeza vipato vyetu kwa sababu  biashara zetu hazina mvuto Tunapoendelea kufungua vyanzo vingine vya vipato kwa kutumia mbinu zile zi… Read More
  • MAMBO MATATU MUHIMU YA KUFANYA KIJANA KABLA YA KUANZA KUTAFUTA PESA YA KUFANYA BIASHARA Kijana mwenzangu kabla hujaanza kusumbuka kutafuta pesa kila mahala kwaajili ya biashara.  Kwanza Fanya maamuzi ni biashara gani unayohitaji kufanya, hiyo ni hatua ya kwanza kabisa. Kwanini ufanye uwamuzi kwanza? Ili k… Read More
  • UJASIRIAMALI NI NINI? Kuna tafsiri mbali mbali katika vichwa vya watu na katika mitandao ya kijamii juu ya dhana ya UJASIRIAMALI. Wengi wamepata tafsiri zilizowapa presha na kuamua kuacha kuwa WAJASIRIAMALI, na baadhi hawatambua ni kwa namna gan… Read More
  • MTAJI KWA KIJANA NI UPI...! Proudly Sponsored by N.Y.I MOVEMENT *Join and Be part of the Change*. Kuna mambo mbali mbali ambayo wewe kama Kijana mwenzangu unaweza fanya pasipokuwa na pesa kubwa Bali hiyo hiyo uliyonayo hapo .... Akili, maarifa… Read More

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI