Monday, May 6, 2019


Kitabu cha Kwanza: "MBINU 16 ZA KUONGEZA MAUZO KWENYE BIASHARA YAKO.".



- Ndani ya Kitabu hiki Utapata Mbinu 16 za uhakika za Kukusaidia katika Kuongeza Mauzo (SALES) kwenye Biashara Yako yo yote Ile uifanyayo Mtandaoni au nje ya Mitandao. Ni zaidi ya mwaka tangu kilipozinduliwa rasmi, na kimekwisha Kuwasaidia Watu Wengi Kibiashara.

Wewe Unasubiri nini Kukua KIFEDHA wakati huu ambao Watu wanasema ya kwamba VYUMA VIMEKAZA (Hali ya Kiuchumi ni Ngumu, na hakuna Faida kwenye Biashara)?? KITABU HIKI NI MKOMBOZI WAKO. JIPATIE NAKALA YAKO LEO KWA "SOFT COPY" (pdf) po pote pale Ulipo Duniani. Ni Tsh 10,000/= tu.

- Bofya hii LINK kuwasiliana nasi moja kwa moja kwa WhatsApp: https://wa.me/255764793105.


Kitabu cha Pili: "NAMNA YA KUSOMA KITABU - How to Read A book.".


- Ndani ya hiki Kitabu utakutana na mambo mazuri sana ya Kukusaidia kupata hamu ya Kusoma Vitabu kwa ufasaha na kuweza Kuishi Ndoto Yako.

- Ndani yake utayapata "MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA USOMAJI WA VITABU, NAMNA YA KUSOMA KITABU, SHUHUDA NA MASHAURI YA WASOMAJI MAARUFU WA VITABU, pamoja na MASWALI KUMI YA MUHIMU."
.
- Unaanzaje Kukosa hiki Kitabu?? AMUA LEO KUWA WA TOFAUTI, Mr. Lamax aliwahi kusema ya kwamba; "Usomaji wa Vitabu Sio Kipaji, ni TABIA Inayotengenezwa na Mtu Mwenyewe Kila Siku."

-Bofya hii LINK kuwasiliana nasi moja kwa moja WhatsApp: https://wa.me/255764793105. Utakipata kwa Tsh. 5000/= tu katika Mfumo wa "SOFT COPY  (pdf)."


MWANDISHI WA VITABU VYOTE ni LACKSON TUNGARAZA. Unaweza Kumjua zaidi kwa Undani na Yote ayafanyayo kwa KUBOFYA hii LINK: https://lacksontungaraza.blogspot.com/2019/03/lackson-tungaraza-ni-nani-haswa.html?m=1.


KARIBU SANA LEO.
- Kwa Mawasiliano ya Kawaida: +255 (0) 764 793 105.

Related Posts:

  • KWAKO KIPENZI CHANGUNinayaandika haya nikiwa na majuto makubwa sana ndani yangu, kiasi cha Kuona ya kwamba dunia nzima inafahamu historia yangu. Sikutaka kuyaandika haya, ila sipendi uendelee kuteseka kwa sababu yangu. Licha ya kwamba kwa sas… Read More
  • FIKIRIA NJE YA BOX All the so-called 'Secrets of Success' will not work unless you do--Unknown. Siri za mafanikio ni nyingi sana na utaendelea kuzisikia na kuzisoma sehemu mbali mbali.. Mtandaoni, magazetini, vitabuni nk..... Sidhani kama k… Read More
  • MY HAPPY BIRTHDAY MESSAGE TO YOUUsisubiri hadi Uzeeke, ndipo uanze kupata hamasa ya kutimiza ndoto... Rasilimali kubwa uliyonayo sasa ni Kwamba wewe ni kijana, unanguvu nyingi, afya njema. Usitumie nguvu zako vibaya katika kufanya mapenzi kiholela... Kadri … Read More
  • FIND_SOMETHING_TO_DIE_FOR_THAN_TO_LIVE_FOR FANYA JAMBO la Kumfanya MUNGU azidi Kuona  Umuhimu wa Kukuacha Uendelee kuwa HAI hapa duniani. JAMBO la Kumfanya MUNGU aone KUNA PENGO wakati  wa Kuugua Kwako (Kupatwa na Magonjwa) ili AKUPONYE HARAKA URUDI… Read More
  • JE UMEKUWA UKIJIULIZA NI KWA NINI VIJANA WENGI HUBADILIKA SANA KITABIA WAKIFIKA VYUONI ? Hakuna asiyelijua hili, ya Kwamba VIJANA Wengi sana HUBADILIKA sana Kitabia wanapofika VYUONI. Kiasi kwamba kuna baadhi ya Wazazi, Walezi, Na Ndugu ambao Husikitika kwa Kuona Watoto Wao Wakichaguliwa Kuingia Vyuoni kwa masom… Read More

0 comments:

Post a Comment

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI