Monday, March 18, 2019


I- Mjasiriamali (Entrepreneur) kwa kuwa sehemu ya kuleta Suluhu ya Matatizo Yaliyopo kwenye Jamii. (SOCIAL ENTREPRENEUR).


II- Mwamasishaji (Motivator) kwa Kuwasaidia Waliovunjika mioyo, waliyokata tamaa ya kusonga mbele - kwa kutumia Slogan ya NAFASI YAKO IPO  (NYI). Na Pia kuwaasa Vijana Kuishi kwa ajili ya Wengine, Sio kwa ajili yao tu - waache Ubinafsi na Umimi - kwa Slogan ya LIVING FOR MANY.


III- Mhubiri (Preacher) Kwa Kuwasaidia Watu Kuujua Ufalme wa Mungu, kwa Sababu hakuna Mwanadamu ambaye anaweza kuyafanya Mapenzi ya MUNGU bila kuujua kwanza Ufalme wa Mungu (Kujua kanuni za kifalme ili azitumie kwenye kazi Yake, n.k)



IV- Mwanzilishi (Founder) wa Lamax Quotes (nukuu ambazo huwa Unaziona zenye hashtag ya #LamaxQuotes au Jina la Lamax).


V- Mwanzilishi wa Lamax Designs  (LD) ambayo ipo kwa ajili ya Kuwasaidia wafanyabiashara kidigitali kwa kuwatengenezea Label za Bidhaa na Huduma zao, Mabango, Vipeperushi, Vyeti, Makabrasha, Kadi Biashara  (Business Cards), Makala za kutangaza biashara zao, n.k. Na Pia Kuwasaidia na Waandishi wa Vitabu kwa kuwatengenezea Majalada ya Vitabu  (Book Covers), Kuwaandikia Vitabu, Kuwafundisha Mbinu na namna ya Kuandika Vitabu, kuwapangilia Vitabu vyao ili viwe na Mwonekano mzuri wa ndani (Content) na nje, na Kuwafanyia Marekebisho ya Vitabu vyao (Proof- Reading).
KARIBUNI SANA.




VI- Mwandishi wa Vitabu.

Kwa Sasa Nina Vitabu Vinne ambavyo viko tayari kusomwa;

1. Mwanachuo Diary - 10K, cha Hard Copy.
2. Sitarudi Nyuma Tena - 5k, cha Hard Copy.
3. Mbinu 16 za Kuongeza Mauzo kwenye Biashara Yako - 10K, Soft copy (eBook).
4. Namna ya Kusoma Kitabu - 5K, Soft Copy (eBook).
KARIBUNI MJIPATIE MAARIFA SAAAFIII NDANI YA VITABU VYANGU


VII- Mwuzaji wa Mashine za Kutengenezea BISKUTI.
Ukinunua Mashine zetu Unapata na zawadi ya Kufundishwa namna ya Kutengeneza vizuri BISKUTI zako na kulifikia Soko lako.


VIII- Mwuzaji wa SUNGURA wa Kufugwa na Wa Nyama, pamoja na Huduma ya Kutengeneza Mabanda Asilia ya Kuwafugia Sungura Wako.
KARIBU SANA.
Mawasiliano: 0764 793105 - whatsApp

Related Posts:

  • USIPOTEZE TENA MUDA WAKO NA VIFURUSHI VYAKO VYA INTANETI MTANDAONIWatu Wengi huwa Wananunua Vifurushi vya Intaneti Ili Waelimike Mtandaoni, Lakini huwa hawafikii hayo Malengo Yao. - Unakuta Mtu anaingia YouTube ili apate Elimu ya kumsaidia Kukua Kiroho au Kiuchumi, lakini anaishia kuanga… Read More
  • BADO UNAENDELEA KUVUNJA LAANA ZA UMASKINI? Tangu Uanze kuvunja Laana za UMASKINI, huu ni Mwaka wa ngapi, na Je Umeshaanza kuwa TAJIRI? Kabla ya Kuanza au Kuendelea tena na Uvunjaji Wako wa Laana za UMASKINI, Tathimini Kwanza ni kwa Jinsi Umejitoa Kulipa Gharama … Read More
  • LIVING FOR MANY ONLINE SEMINAR - SEMINA BOMBA YA KIUCHUMIMwenye hekima mmoja alisema ya kwamba,  “sababu ya msingi inayowafanya watu wafeli kwenye maisha ni kutoweka Mipango mipya ya kuwaondoa kwenye Mipango ile ya awali iliyowakwamisha.” Naamini kuna mipango kadhaa uliyop… Read More
  • LACKSON TUNGARAZA NI NANI HASWA? I- Mjasiriamali (Entrepreneur) kwa kuwa sehemu ya kuleta Suluhu ya Matatizo Yaliyopo kwenye Jamii. (SOCIAL ENTREPRENEUR). II- Mwamasishaji (Motivator) kwa Kuwasaidia Waliovunjika mioyo, waliyokata tamaa ya kusonga mb… Read More
  • WEWE MKRISTO MFANYABIASHARA!! "Wewe Mkristo: Kukaa eneo lako la biashara na Kusoma Biblia Yako ni Jambo Zuri pia, Ila Tatizo linakuja pale ambapo unapuuzia kumhudumia vizuri MTEJA wako kwa Sababu ya usomaji wako wa biblia - MTEJA anakuongelesha, lakini … Read More

0 comments:

Post a Comment

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI