Friday, March 8, 2019

ZIJUE FAIDA ZA NYAMA TAMU YA SUNGURA -(Tungaraza) Hapo zamani za kale nilikuwa nasikia habari za Sungura na Fisi kiasi kwamba nikawa nawaza juu ya kumpata huyo Sungura ili nimuonje. Sasa hivi nimeshamwonja na kwa kweli Nyama Yake ni Taaamuuu sana. Sasa ebu zijue Faida kadhaa za Nyama ya SUNGURA kisha Uje Ujipatie Sungura Kwetu ambao utakula, utafuga, n.k. @LACKSONTUNGARAZA

0 comments:

Post a Comment

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI