Friday, August 10, 2018

Karibu sana kwenye Semina hii ya Siku Moja, Tarehe 19/8/2018. Maeneo ya Dear Mama Hotel, barabara ya Kuelekea Chuo cha Mipango, Dodoma Tanzania. Kuanzia Saa 8 Mchana hadi 12 Jioni.


Tutakuwa na Mheshimiwa Mteule, RAPHAEL J. LYELA (Unaweza Ukampata Fb, YouTube), ambaye ana Ujuzi Mwingi katika Masuala ya Kazi na Ajira, kwa Miaka Kumi sasa anafanya kazi na Shirika kubwa sana la COMPASSION INTERNATIONAL TANZANIA. Anamiliki kampuni la GALAXY OF POTENTIALS. Na pia ni Mwanzilishi wa CWT, EF (Exposing Founders), N.k.

ANZA "KUJIANDIKISHA" SASA KUPITIA NAMBARI "0764-793105" yenye Jina la "LACKSON TUNGARAZA"

GHARAMA: 20,000/- tu.
'Gharama Ndogo, Matokeo Makubwa'

Kama Rafiki yangu, ninakushauri sana Usipange kukosa hii Semina.

NJOO NA MASWALI YO YOTE YALE JUU YA MADA HIZI TATU ZA KWENYE TANGAZO;


Utalielewa vizuri sana Soko la Ajira, Fursa zake, na Namna ya Kuzichukua badala ya Kuzitafuta na Kuziangaikia kwa Nguvu Nyingi kiasi hicho.

Utaelewa Namna ya kubadilisha Maarifa na Ujuzi wako wa Chuoni kuwa Pesa na Mafanikio Mengine yale Uliyoyakusudia.Kuwa na "Certificate, Diploma,Degree, au Masters Degree" ni Jambo Moja, na Kujua Namna ya Kuvigeuza kuwa Nyenzo ya Mafanikio ni Jambo Jingine Jipya ambalo Unapaswa kulijua ili Usitaabike sana Mjini.

Utaelewa kwa Kina sana Mambo ya Muhimu sana ambayo Yatakusaidia Kufaulu katika "INTERVIEW" yo yote Ile. Na Mambo hayo ni Halisi kabisa, sio ya kutoa tu Mitandaoni. Na pia Utapata Mwongozo wa Namna ya Kuweza Kusimamisha Biashara/Mradi wako Mwenyewe, pamoja na Namna ya kuwa Mmiliki Mkuu wa Bidhaa na Huduma zako.


SIDHANI KAMA UTAPUUZIA HII SEMINA KWA NAMNA AMBAVYO INA MAMBO MAZURI SANA KWAKO.
UNGANA NA VIJANA WENZAKO WENGI WA KIKE NA WA KIUME AMBAO WALISHACHUKUA HATUA YA KUJISAJILI MAPEMA SANA.

Related Posts:

  • IFANYE BIASHARA YAKO KUWA YA TOFAUTI NA YENYE MVUTO MKUBWA LACKSON TUNGARAZA KATIKA HARAKATI ZAKE ZA KUTOA HUDUMA YA VIATU Tunashindwa kuongeza vipato vyetu kwa sababu  biashara zetu hazina mvuto Tunapoendelea kufungua vyanzo vingine vya vipato kwa kutumia mbinu zile zi… Read More
  • UJASIRIAMALI NI NINI? Kuna tafsiri mbali mbali katika vichwa vya watu na katika mitandao ya kijamii juu ya dhana ya UJASIRIAMALI. Wengi wamepata tafsiri zilizowapa presha na kuamua kuacha kuwa WAJASIRIAMALI, na baadhi hawatambua ni kwa namna gan… Read More
  • MTAJI KWA KIJANA NI UPI...! Proudly Sponsored by N.Y.I MOVEMENT *Join and Be part of the Change*. Kuna mambo mbali mbali ambayo wewe kama Kijana mwenzangu unaweza fanya pasipokuwa na pesa kubwa Bali hiyo hiyo uliyonayo hapo .... Akili, maarifa… Read More
  • SIRI ILIYOPO KATIKA UTENDAJI -------------------------------------------------------------------------------------------------------------- -------------------------------------------------------------------------------------------------------------- … Read More
  • MAMBO MATATU MUHIMU YA KUFANYA KIJANA KABLA YA KUANZA KUTAFUTA PESA YA KUFANYA BIASHARA Kijana mwenzangu kabla hujaanza kusumbuka kutafuta pesa kila mahala kwaajili ya biashara.  Kwanza Fanya maamuzi ni biashara gani unayohitaji kufanya, hiyo ni hatua ya kwanza kabisa. Kwanini ufanye uwamuzi kwanza? Ili k… Read More

1 comment:

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI