Monday, August 20, 2018

"Kuna Watu ambao hukimbia Majumbani Kwao na kung'ang'ania Kuishi Kwenye Majiji Makubwa kama Dar Es Salaam na Arusha kwa Sababu tu Yamekwisha Kuendelea Sana. Cha Kushangaza, hao hao Watu hulalamika sana Pale Wanapokimbiwa na Watu Wao wa Karibu kwa Kuwa bado hawana Maendeleo. Wanasahau ya Kwamba, APANDACHO MTU NDICHO ATAKACHOVUNA.
 

Ninachotaka Uelewe ni hiki; Hayo Majiji hayakujengwa na Malaika, Bali Watu Kama  Wewe. Tofauti Yao na Wewe ni kwamba Wao Walinuwia kuwa Sehemu ya Maendeleo Wanayoyataka. Kila Kitu huanzia Sehemu fulani, Ebu anza Kupendezesha na vya Kwako ili na Wengine Wavikimbilie."

#LamaxDesigns #LamaxQuotes #NewLifeChapter
Fb.com/ltungaraza

Related Posts:

  • KWA NAMNA GANI UNAWEZA KUNUFAIKA NA FURSA ZINAZOKUZUNGUKA KILA SIKU?? JAMBO KUBWA KABISA NA LA KWANZA NI KUJIANDAA NA KUWA TAYARI (Get prepared and Be Ready). LEO UKIMWONA "Diamond Platinumz", au "Joel Nanauka" anapata nafasi ya Kuzunguka sehemu nyingi Unadhani ya kwamba ni Bahati tu!! Hap… Read More
  • DAKA HII "Kuna Watu ambao hukimbia Majumbani Kwao na kung'ang'ania Kuishi Kwenye Majiji Makubwa kama Dar Es Salaam na Arusha kwa Sababu tu Yamekwisha Kuendelea Sana. Cha Kushangaza, hao hao Watu hulalamika sana Pale Wanapokimbiwa na … Read More
  • DAKA HII "Hukupewa Mdomo Mzuri, Wenye Lips Nzuri, Ili Uutumie Kutukania Watu, Kuharibu Ndoa za Watu, Kupandikiza Chuki Kati ya Ndugu, Kuwatega Watu Kingono, Kuchonganisha Watu, Wala Kulaani. Bali Kwa Kubariki, Kuzinena Sifa za Mungu … Read More
  • DAKA HII "Mimi Sidhani kama KUOLEWA kumekuwa kugumu Kiasi hicho, Kwa Sababu Wakati Wewe Unalalamika ya Kwamba Hakuna Anayejitokeza Kukuoa, Kuna Mwenzako Anawindwa na Majamaa Kama Watano hivi, ambao Kila Mmoja anamwotea Mwenzake Akose… Read More

0 comments:

Post a Comment

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI