Sunday, August 19, 2018

"Hukupewa Mdomo Mzuri, Wenye Lips Nzuri, Ili Uutumie Kutukania Watu, Kuharibu Ndoa za Watu, Kupandikiza Chuki Kati ya Ndugu, Kuwatega Watu Kingono, Kuchonganisha Watu, Wala Kulaani. Bali Kwa Kubariki, Kuzinena Sifa za Mungu wa Mbinguni, na Kumzalia Mungu Matunda Mazuri. Rudi Kwenye Kusudi, Usitaabishwe na Kiburi cha Uzuri na Urembo. Vinavyoonekana ni vya Muda tu."


#LamaxDesigns #LamaxQuotes #NewLifeChapter
Fb.com/ltungaraza


Related Posts:

  • DAKA HII "Mimi Sidhani kama KUOLEWA kumekuwa kugumu Kiasi hicho, Kwa Sababu Wakati Wewe Unalalamika ya Kwamba Hakuna Anayejitokeza Kukuoa, Kuna Mwenzako Anawindwa na Majamaa Kama Watano hivi, ambao Kila Mmoja anamwotea Mwenzake Akose… Read More
  • DAKA HII "Kuna Watu ambao hukimbia Majumbani Kwao na kung'ang'ania Kuishi Kwenye Majiji Makubwa kama Dar Es Salaam na Arusha kwa Sababu tu Yamekwisha Kuendelea Sana. Cha Kushangaza, hao hao Watu hulalamika sana Pale Wanapokimbiwa na … Read More
  • DAKA HII "Hukupewa Mdomo Mzuri, Wenye Lips Nzuri, Ili Uutumie Kutukania Watu, Kuharibu Ndoa za Watu, Kupandikiza Chuki Kati ya Ndugu, Kuwatega Watu Kingono, Kuchonganisha Watu, Wala Kulaani. Bali Kwa Kubariki, Kuzinena Sifa za Mungu … Read More
  • KWA NAMNA GANI UNAWEZA KUNUFAIKA NA FURSA ZINAZOKUZUNGUKA KILA SIKU?? JAMBO KUBWA KABISA NA LA KWANZA NI KUJIANDAA NA KUWA TAYARI (Get prepared and Be Ready). LEO UKIMWONA "Diamond Platinumz", au "Joel Nanauka" anapata nafasi ya Kuzunguka sehemu nyingi Unadhani ya kwamba ni Bahati tu!! Hap… Read More

0 comments:

Post a Comment

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI