Thursday, January 18, 2018

FANYA JAMBO la Kumfanya MUNGU azidi Kuona  Umuhimu wa Kukuacha Uendelee kuwa HAI hapa duniani.

JAMBO la Kumfanya MUNGU aone KUNA PENGO wakati  wa Kuugua Kwako (Kupatwa na Magonjwa) ili AKUPONYE HARAKA URUDI KAZINI. Jambo la KUMPENDEZA  MUNGU na Kumkumbusha ili Upate UPENDELEO Kwake  {ISA 38:1-5}.


KUNA MAMBO AMBAYO MFALME HEZEKIA ALIFANYA HATA MUNGU AKAONA NI VYEMA AMUONGEZEE MIAKA YA KUISHI;


1: Kwenda Mbele za Mungu katika KWELI na kwa MOYO MKAMILIFU (Hakufanya DHAMBI Kwa SIRI)

2: Kutenda yaliyo MEMA MACHONI PA MUNGU (Hakutaka Kuwafurahisha WANADAMU KWANZA, BALI MUNGU KWANZA).

3: KULIA SANA SANA (Ishara Ya Uhitaji wa Hali ya JUU sana, Kuhurumiwa na BWANA)

{KILA TAWI LISILOZAA (Asiyeleta Mabadiliko Chanya kwenye Jamii Kiroho na Kimwili) HUONDOLEWA/HUKATWA (Yoh 15:2). Bali LIZAALO HUSAFISHWA (Mtu kuinuliwa Viwango hata Viwango, Upako hata Upako, Kibali hata Kibali) ILI LIZIDI KUZAA}

Ni PICHA gani ambayo watu huipata Katika Fahamu au Akili zao, Jina lako Linapotamkwa?

Mfano...
Michael Jordan-Mchezaji bora wa Mpira wa Kikapu.
C.Ronaldo-Mchezaji bora wa Mpira wa miguu
Steven Kanumba-Mwigizaji wa Filamu.
Julius Nyerere-Mwalimu na Mwasisi wa Taifa la Tanzania.

"IF YOU WANT TO BE SUCCESSFUL IN LIFE DON'T SEEK SUCCESS, SEEK TO BECOME A PERSON OF VALUE" -Dr. Myles Munroe

"ONGEZA THAMANI YAKO NA MAFANIKIO YATAKUFUATA MAHALI PO POTE UTAKAPOKUWEPO"

Tafuta Sababu ya KUISHI UWE MIONGONI MWA WAPINDUA ULIMWENGU.



TENDA, USISEME TU.
Lackson Tungaraza.
( www.facebook.com/ltungaraza )
0764793105 Whatsapp, sms.


Related Posts:

  • MY HAPPY BIRTHDAY MESSAGE TO YOUUsisubiri hadi Uzeeke, ndipo uanze kupata hamasa ya kutimiza ndoto... Rasilimali kubwa uliyonayo sasa ni Kwamba wewe ni kijana, unanguvu nyingi, afya njema. Usitumie nguvu zako vibaya katika kufanya mapenzi kiholela... Kadri … Read More
  • FIKIRIA NJE YA BOX All the so-called 'Secrets of Success' will not work unless you do--Unknown. Siri za mafanikio ni nyingi sana na utaendelea kuzisikia na kuzisoma sehemu mbali mbali.. Mtandaoni, magazetini, vitabuni nk..... Sidhani kama k… Read More
  • FIND_SOMETHING_TO_DIE_FOR_THAN_TO_LIVE_FOR FANYA JAMBO la Kumfanya MUNGU azidi Kuona  Umuhimu wa Kukuacha Uendelee kuwa HAI hapa duniani. JAMBO la Kumfanya MUNGU aone KUNA PENGO wakati  wa Kuugua Kwako (Kupatwa na Magonjwa) ili AKUPONYE HARAKA URUDI… Read More
  • KWAKO KIPENZI CHANGUNinayaandika haya nikiwa na majuto makubwa sana ndani yangu, kiasi cha Kuona ya kwamba dunia nzima inafahamu historia yangu. Sikutaka kuyaandika haya, ila sipendi uendelee kuteseka kwa sababu yangu. Licha ya kwamba kwa sas… Read More
  • JE UMEKUWA UKIJIULIZA NI KWA NINI VIJANA WENGI HUBADILIKA SANA KITABIA WAKIFIKA VYUONI ? Hakuna asiyelijua hili, ya Kwamba VIJANA Wengi sana HUBADILIKA sana Kitabia wanapofika VYUONI. Kiasi kwamba kuna baadhi ya Wazazi, Walezi, Na Ndugu ambao Husikitika kwa Kuona Watoto Wao Wakichaguliwa Kuingia Vyuoni kwa masom… Read More

0 comments:

Post a Comment

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI