Sunday, November 26, 2017

Usisubiri hadi Uzeeke, ndipo uanze kupata hamasa ya kutimiza ndoto... Rasilimali kubwa uliyonayo sasa ni Kwamba wewe ni kijana, unanguvu nyingi, afya njema. Usitumie nguvu zako vibaya katika kufanya mapenzi kiholela... Kadri unavyotumia hzo nguvu zako vibaya ndivyo unavyokaribisha Uzee .


Ndiyo maana kuna vijana ukiwatazama ni kama wazee... Sura zimekomaa hadi macho yameingia ndani, midomo imekauka kaukau... Kijana Shughulika sahivi.... Time is Limited.

Katika muda huo huo wa masaa 24, wengine wanatengeneza pesa nyingi na wewe hauna uhakika hata wa kuingiza shilingi mia. Time Is Money, how do you Invest your time?

Amka sasa bado mapema... Usidanganywe eti Kula ujana na wakati wanaokwambia kufanya hivyo wenyewe wanafanya kazi na wanauhakika wa kuingia pesa kila siku hata wasipoingia kazi... Cash flow.


KITABU NI Tsh. 5000/=
0764 793105


    NYI
    Lackson Tungaraza
     0764793105 whatsApp

Related Posts:

  • FIKIRIA NJE YA BOX All the so-called 'Secrets of Success' will not work unless you do--Unknown. Siri za mafanikio ni nyingi sana na utaendelea kuzisikia na kuzisoma sehemu mbali mbali.. Mtandaoni, magazetini, vitabuni nk..... Sidhani kama k… Read More
  • JE UMEKUWA UKIJIULIZA NI KWA NINI VIJANA WENGI HUBADILIKA SANA KITABIA WAKIFIKA VYUONI ? Hakuna asiyelijua hili, ya Kwamba VIJANA Wengi sana HUBADILIKA sana Kitabia wanapofika VYUONI. Kiasi kwamba kuna baadhi ya Wazazi, Walezi, Na Ndugu ambao Husikitika kwa Kuona Watoto Wao Wakichaguliwa Kuingia Vyuoni kwa masom… Read More
  • MY HAPPY BIRTHDAY MESSAGE TO YOUUsisubiri hadi Uzeeke, ndipo uanze kupata hamasa ya kutimiza ndoto... Rasilimali kubwa uliyonayo sasa ni Kwamba wewe ni kijana, unanguvu nyingi, afya njema. Usitumie nguvu zako vibaya katika kufanya mapenzi kiholela... Kadri … Read More
  • KWAKO KIPENZI CHANGUNinayaandika haya nikiwa na majuto makubwa sana ndani yangu, kiasi cha Kuona ya kwamba dunia nzima inafahamu historia yangu. Sikutaka kuyaandika haya, ila sipendi uendelee kuteseka kwa sababu yangu. Licha ya kwamba kwa sas… Read More
  • FIND_SOMETHING_TO_DIE_FOR_THAN_TO_LIVE_FOR FANYA JAMBO la Kumfanya MUNGU azidi Kuona  Umuhimu wa Kukuacha Uendelee kuwa HAI hapa duniani. JAMBO la Kumfanya MUNGU aone KUNA PENGO wakati  wa Kuugua Kwako (Kupatwa na Magonjwa) ili AKUPONYE HARAKA URUDI… Read More

0 comments:

Post a Comment

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI