Sasa
Unaweza Kutengeneza Kipato cha Ziada (PESA) kupitia Kitabu changu "SITARUDI
NYUMA TENA"
- Sitaki KUFANIKIWA mwenyewe, nataka nawe UFANIKIWE Kiuchumi.
- Sitaki KUFANIKIWA mwenyewe, nataka nawe UFANIKIWE Kiuchumi.
Unatengenezaje sasa hicho kipato cha ziada?
Kuanzia tarehe 30/9 hadi tarehe 5/9/2017 Kitabu hiki
Kitapatikana kwa Gharama ndogo tu ya Tsh.4000. NAWE UTAENDA KUUZA KWA GHARAMA
YAKO AMBAYO ITAKUPATIA FAIDA (Mfano 4500, 4700, 5000 n.k)
Haijalishi Umeajiriwa, Umejiajiri ama
Umeajiri, Kutengeneza Kipato cha ziada ni Jambo la Muhimu sana, tena sana.
☆Hii Itakusaidia pia wewe ambaye Hujapata AJIRA.
FAIDA NYINGINE UTAKAZOPATA; ☆Hii Itakusaidia pia wewe ambaye Hujapata AJIRA.
1.Wateja Wangu Wote ambao Watakuwa Wanahitaji VITABU katika Mkoa au Wilaya Uliyopo, Nitawaelekeza Kuja kwako.
(Utanipatia Jina lako, Mawasiliano na
Mahali Unapopatikana wakati wa kuchukua Vitabu)
Nitakusaidia katika KUENDELEA KUTANGAZA KITABU.
#ANGALIZO!
Vitabu viwe kwenye MAZINGIRA Mazuri kama Ulivyochukua.
3.Msaada wa namna ya Kuviuza Vitabu katika Maeneo uliyopo.
KITABU
"SITARUDI NYUMA TENA"
1.Kinasubiriwa na Kupendwa na Watu wengi.
2.Jina la Kitabu Linamvutia Mteja Kutamani Kujua Yaliyomo ndani yake.
3.Kimetengenezwa kwa UBORA MZURI kuanzia kwenye COVER (Jalada) ambalo Halitaharibika Kirahisi hata Kikimwagiwa Maji kwa bahati mbaya.
4.Kinabebeka Kirahisi (Portable) na hivyo Kuweza kwenda nacho po pote pale.
5.Kina MAJIBU ya Watu Wengi.

HIKI KINAWAFAA WATU GANI (Wateja Utakaowauzia);
1.Wanaopitia CHANGAMOTO Mbali mbali katika Maisha (Mfano Kutaka MAFANIKIO ya Kiuchumi, makundi rika n.k) na Namna ya KUZIVUKA.
-Hasa VIJANA (Mtu ye yote Yule ambaye Bado Hajazeeka ni Kijana, Haijalishi yuko kwenye Ndoa ama la)
2.Ambao Hawajafahamu na Waliyokwisha Kufahamu Hatma yao (Destiny) katika Maisha, yaani Kule wanakotakiwa Kufika na Kuacha Kumbukumbu Chanya duniani.

{Bila Kujua Hatma Yako / Unapoelekea,
Utakuwa Unatamani Kila siku kuwa kama Mtu fulani na Kushindana na Watu ambao
Kimsingi Hujui Umbali Wanaokimbia. Zipo Hatua za Kukusaidia Kuifikia Hatma
Yako}
3.BINTI Atakaye kuwa na UZURI na UREMBO Usiopitwa na
Wakati.Nimeandika kwa LUGHA Nyepesi Mambo ambayo wanakutana nayo katika Maisha na Yamekuwa Mwiba wa Kuharibu ule UZURI na UREMBO ambao Mungu aliukusudia kwao.
Unaweza KUJIULIZA Nimeyapata Wapi haya Yote!!
1: UZOEFU ambao Nimeupata Kupitia Mazingira
mbali mbali ambayo Niliyapitia na pia Kuyaona.
2. Kwa Uweza wa Mungu mwenyewe.
Unakosaje Kuwa na Vitabu hivi au Kuongeza
Kipato cha ziada!! Kazi ni kwako sasa.
Baada ya tarehe 5/10/2017, Kitabu hiki Kitapatikana kwa
Gharama ya Tsh.5000/=
Mawasiliano!0764793105
Lackson Tungaraza.
Fb.com/ltungaraza
Lackson Tungaraza.
Fb.com/ltungaraza
WAHI
SASA KABLA HAVIJAISHA.
0 comments:
Post a Comment