Friday, July 21, 2017

SIRI ILIYOPO KATIKA USOMAJI WA VITABU KAMA vile ambavyo kuna SIRI ya kuwa na NDOA bora, au SIRI ya KUPATA Utajiri, Vivyo hivyo Kuna SIRI katika USOMAJI WA VITABU. SIRI hii imenisaidia sana na kuwa MTU bora zaidi kuliko hapo awali kabla ya kuanza Kuvisoma. SIKILIZA HII VIDEO, JIFUNZE NA UWEKE KATIKA MATENDO. USISAHAU KUJIUNGA NA HII CHANNEL (SUBSCRIBE) ILI ÙWE UNAPATA TAARIFA YA MAFUNDISHO MAPYA MOJA KWA MOJA KATIKA EMAIL YAKO. FACEBOOK! fb.com/ltungaraza Mawasiliano!0764793105 (Unaweza kunialika katika Kipindi cha Redio, au Shuleni KUONGEA na wanafunzi, au kuwa Mwandishi katika Vipeperushi na Gazeti na Blog yako n.k)

0 comments:

Post a Comment

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI