Tuesday, September 29, 2015


Wengi wetu wamekuwa wakiniambia tunatamani kuwa na kufanya biashara hii unayoifanya lakin tuna wasiwasi. Leo twende pamoja kujua sababu za hofu uliyonayo ili sasa uamue kufanya biashara hii vyema
1. Woga wa kuibiwa na kutojua mfumo huu unakuwa unamiliki rasilimali watu ambao wote wanakutegemea

2. Woga kuwa bidhaa watazipeleka wapi hawatambui kuwa biashara yoyote lazima utafute SOKO na ndipo kuwepo na mbadilishano wa bidhaa.

3. Hofu ya kuwa na MTAJI MDOGO.
Watu wengi huwa wananipigia simu nikiwaeleza namna ya kufanya biashara huniuliza naweza Kufungua DUKA??? Hii ni ishara kuwa FIKRA ZA MWANADAMU HUWEZI KUZIBADILI, MAANA ZINATAKA KUIONESHA JAMII KUWA TAYARI ANAMILIKI BIASHARA. Biashara za maonesho sio KITU. Mfano mimi nina mawakala wamezagaa kila kona hapa tanzania na SINA DUKA na sigharimikii chochote lakini kila mwezi KIPATO KINAINGIA. Haya yote nilifuata policy ya biashara hii kuwa DUKA LA KAMPUNI NI DUKA LAKO, Ndiyo maana nafurahia kuichagua NEPSTAR kuwa mkombozi wangu. Inalipia ushuru,inaleta bidhaa Katika shops mbalmbal nchini,inawajibika kuwalipa mawakala wote na kunilipa mimi. Nafurahia sana kazi niliyo IFANYA SIKU NYINGI LAKINI KIPATO KINAZIDI KUKUA KILA KUKICHA

4. Hofu Ya kushindwa.
Biashara ya mtandao ukitaka ikushinde NI PALE UTAKAPO KOSEA KUCHAGUA MKUFUNZI WAKO, ATAKAYE KUPA MWONGOZO KIBIASHARA
Nimefanya haya nimeibua wafanya biashara wengi kwa sababu walinichagua mimi kuwapa mwongozo wa kile ninachokifanya. PIA KUKOSEA KUCHAGUA KAMPUNI UNAYOMUDU NAYO KUENDESHA BIASHARA KULINGANA NA UCHUMI WAKO( Hili ni TATIZO WATANZANIA TUNA TAMAA, WAKIONESHWA MAGARI/NYUMBA WANAZADI NI BIASHARA YA KUINGIA LEO NA KUFIKA PALE. LA HASHA USITAMANI BIASHARA MPIGIE SIMU MKUFUNZI MUULIZE KAMA UTAWEZA KUMUDU KUENDESHA BIASHARA HIO KULINGANA NA KIPATO CHAKO)

5. Kuomba Ushauri KATIKA WAKATI UNAPOTAKA KUFANYA MAAMUZI.
 Nakumbuka siku naanza kufanya hii biashara sikumshirikisha hata ndugu zangu wa karibu nimekuja kuwashirikisha walipo anza kuona kuna utofauti ndani yangu.
- Epuka kuomba ushauri kwa mtu anayekuepuka wakati wa shida,
-Epuka kushawishiwa na mtu ambaye hajui undani wa hii biashara.
-Epuka wenye shuhuda za walioshindwa katika biashara, kila mtu ana mibaraka yake juu ya mungu.

6. Woga wa KUTOSHIRIKI NA KUSUBIRIA MAFANIKIO YA WATU.
Napenda kuwaambia kuwa pale naanza hii biashara wengi WALINIKATALIA SITAKI,HADI WALIKUWA WANANIKWEPA WAKIJUA NITAWASHIRIKISHA BIASHARA HII.Nilifanya hii biashara kwa kufuata mbinu za millionare wengne dunian, ndani ya miezi michache tu, KILA MTU ALIYEKUWA ANAPUZIA FURSA AKAANZA KUNITAKA NIMWAMBIE KWA NINI MIMI NIMEBADILIKA
GHAFRA WANAHITAJI KUSHIRIKI,... Ni vizuri kuridhisha akili yako lakini kumbuka HAKUNA UTAJIRI MKUBWA KAMA KUWA WA KWANZA KUSHIRIKI NDANI YA FURSA. Ninayasema haya
kama na wewe una kizuizi kama hiKi,,,,VISHINDE UANZE MAPEMA.Wakati ndio sasa, usisubiri kesho

WASILIANA NAMI KWA SMS/COMMENT AU WHATSAPP KWA 0764793105 NIKUPE MAELEKEZO YA KUANZA HII BIASHARA KWA GHARAMA YA 26000/- KAMA MIMI NA MAMILIONAIRE WENGNE

0 comments:

Post a Comment

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI