Saturday, September 5, 2015

Biashara ni mfumo wa ubadilishanaji wa huduma,yaani yule mwenye kitufulani anabadilishana na mwingine ili kuweza kuipata huduma hiyo. yaweza kuwa mali na hela au mali kwa mali. Kwasababu hiyo tunaona kuwa hapo awali kulikuwa na mfumo mmoja ambapo wanadamu wa kale waliweza kufanya biashara kwa kubadilishana bidhaa izo.
Mf.Unahitaji mchele unatoa kuku,au unahitaji mbuzi unatoa kondoo. Lakini kadri muda ulivyo enda ikagunduliwa sarafu ambayo iliweza kuthaminishwa na kupelekea mfumo wa awali kufa nakuanza kutumia sarafu hizo kuwa nathamani ya kitu au huduma unayo itaka. Hivyo basi imeendelea mpaka leo ambapo tunaona kuwa pesa imekuwa ikitumika ili kurahsisha huduma kufanyika. Ivyo pesa imeweza kurahisisha huduma nyingi kuwepo na kupelekea kuwa na thamani kubwa hivyo ndiyo maana katika ulimwengu wa leo bila pesa hakuna kinacho weza kuendelea.


AINA KUU ZA BIASHARA DUNIANI.
Duniani kote kutokana na kupanuka kwa uchumi na kulingana na mahitaji kuongezeka kunakosababishwa na kuongezeka kwa watu hivyo kuna aina kuu mbili za biashara.
1. Biashara za kizamani
2. Biashara ya kisasa yaani ya karne ya 21.

Ukiangalia mifumo hii yote lengo lake kuu ni kuhakikisha huduma inamfikia mtumiaji wa mwisho. Yaani inamuunganisha mtumiaji na mzalishaji ambaye ni kiwanda. Lengo kuu ni kuhakikisha kuwa
huduma inamfikia mtumiaji bila shida.

TOFAUTI KATI YA AINA HIZI ZA BIASHARA.
1. BIASHARA YA KIZAMANI.
Huu ni mfumo wa biashara ambao unamuunganisha mtumiaji na mzalishaji. Katika mfumo huu bidhaa kutoka kiwandani mpaka kuja kumfikia mtumiaji wa mwisho hupitia katika mikono ya watu wengi. Katika mfumo huu unahitaji kuwa na watu mbali mbali ambao watawezesha bidhaa hiyo kuweza kumfikia mtumiaji. Hapa tunaona kuwa wakala mkubwa anauwezo wa kuingia ubiya na kiwandani na kuchukua bidhaa kwa bei ndogo kabisa kisha anaenda kumuuzia mlanguaji wa chini yake. Pia huyo mlanguaji nae ana watu wa chini yake ambao anatarajia awauzie, nao wanawegine mpaka kuja kumfikia mtumiaji wa mwisho bidhaa hiyo inakuwa imepita katika mikono ya
watu wengi. Kutokana na kuwepo kwa mlolongo hivyo basi hata bei huongezeka kadiri bidhaa moja inatoka kwa msambazaji mmoja kwenda kwa mwingine. Kitendo hicho husababisha mtumiaji wa mwisho kutwishwa mzigo wa bei zilizo tumika na wasambazaji. Vile vile wale wasambazaji hujikuta
wana gawana faida kidogokidogo sana kiasi kwamba hujikuta hawana jinsi. Mfano: kiwandani nguo
inauzwa Tsh.5000. Sasa basi yule wakala mkuu anyenda kuiuza lazima aongeze gharama za usafiri na faida kidogo,kwa mfumo huo utaendelea kwa wengine wote wa chini yake,mwisho wa siku mtumiaji atakuja kuuziwa nguo hiyo kwa bei ya Tsh.25000/=

Katika mfumo huu wa biashara ili uweze kuanzisha biashara lazima uingie gharama zifuatazo.
-kodi ya pango
-kodi ya mapato
-umeme
-maji
-furniture
nk

Hivyo basi ili uweze kuimudu biashara ya mfumo huu lazima uwe na mtaji mkubwa,na wale wenye
mitaji ya kawaida mala nyingi akiingia akikaa muda mrefu ni miaka miwili au mitatu anafilisika maana pesa anayotoa nikubwa ukilinganisha na ile anayo ingiza. Mfano wa biashara hizo ni hizi kwa jina la kigeni zinaitwa "conversional business"

2BIASHARA YA KISASA/ KARNE YA 21










..Huu mfumo wa biashara unamwezesha mtu yeyote yule kuutumia kufanyia kazi bila kuwa na

  • Mtaji mkubwa mfano kuchukua mikopo benki ili kufungua biashara
  • Banda au jumba la kufanyia biashara
  • Kodi ya mapato kwa sababu mapato yanalipwa moja kwa moja na kampuni husika
  • Leseni ya biashara 
  • Kiwango kikubwa cha elimu kama chuo kikuu n.k
..Hivyo basi kupitia hayo maelekezo tunaona kwa jinsi ambayo BIASHARA YA KISASA ambayo ndiyo BIASHARA YA MTANDAO/NETWORK MARKETING ni mfumo rafiki sana kwa yeyote mwenye kuhitaji kufikia ndoto zake za kuwa na uhuru wa kipato lakini pia kiwe kipato endelevu
Pili kabisa ni wajasiriamali wengi wapo nchini lakini tatizo ni kwamba wanambinu zilezle za kibiashara na bdhaa wanazotumia pia sio za utofauti nikimaanisha ubora wake. Lakini ndani ya "Biashara ya Mtandao" utatumia bdhaa za viwango vya ubora zisizo na madhara kwa mwanadamu kupitia kampuni ya NEPSTAR. Mimi binafsi nafurahia bdhaa za Neptunus kwani ni bdhaa imara zenye ushindani mzuri katika soko la kimataifa kwani bdhaa hazijachakachuliwa lakini pia nakuwa bora kiuchumi na kiafya.

Ndugu hata ukiwa na hofu ya kuingia ndani ya biashara ya mtandao ukidhani kuwa ajira uliyonayo ndio suluhisho la maisha yako au kuajiriwa unajidanganya kwani hakuna tajiri duniani kupitia pesa ya MSHAHARA wote ni Wajasiriamali.Hvyo Ujasiriamali ni lazima sio ombi ikiwa unataka kuishi maisha ya ndoto zako.CHUKUA HATU HUJACHELEWA 

0764793105 Kapata mwongozo wa kujiunga na mfumo huu wa biashara


MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI