..Mimi kama kijana mkubwa ktk familia ya Mr and Mrs.Maximillian Tungaraza,yenye hali ya uchumi wa kawaida tu.Ktk maisha yangu japo nilikuwa bado mdogo lkn sikuwahi kufikiria kuajiriwa na mtu yeyote wala kuwa na marafiki ambao wananikatisha tamaa kwa jambo lolote nililoliona linafaa hata ktk masomo yangu japo nilikuwa sijui hatima ya maisha yangu ya baadae.Kama ndugu zangu mjuavyo kuna wakati wa mvua na wakati wa kiangazi, kuna muda ukafika nikakoswa pesa ya ada na matumizi yangu binafsi.Namshukuru mwenyezi Mungu hiyo hali iliponitokea ndipo akili yangu ikafunguka na kuanza kutafta njia mbalmbal za kutatua hilo tatizo.
..Unajua ndugu kunatofauti kubwa kati ya mtu anayetaka kujiajiri mwenyewe na anaetaka kuajiriwa na kutegemea hyo ndo njia pekee ya kufanikiwa.Nakumbuka ilikuwa siku moja nikiwa napita pita FACEBOOK nikiangalia taarifa mbalmbal kama ilivyokuwa kawaida yangu.Lakini hii siku ilikuwa ya tofauti maana nilikuwa nasoma kila kilichokuwa kikiandika, Mara nikakutana na post ya UJASIRIAMALI kwa anaehitaji kujiajiri na kuwa na kipato endelevu na uhuru wa muda na akaweka na namba yake ya simu. Kwasababu nilikuwa na hamu na shauku nilichukuwa nikamtafta hewani, baada ya muda nilipigiwa simu na Mr.Mazua akanieleza kwa kifupi kupitia simu juu ya hyo biashara ambayo aliniambia ni BIASHARA YA MTANDAO/NETWORK MARKETING na utendaji kazi wake lkn kwasababu nipo Dodoma aliniunganisha na Mr.Paul Hillary akanieleza kwa undani.
..Sikuchelewa kuchukua hatua ya maamuzi binafsi kwani ndani ya biashara ya Mtandao, Bosi ni wewe binafsi na pia unakuwa na uhuru wa muda hata kama umeajiriwa unaweza fanya hata ukiwa nyumban na pia ni kwa mtu yeyote hata ambae hajasoma au ana elimu ndogo anaweza fanya na akapata kipato endelevu bila mashaka ya kufukuzwa na Bosi kama mtu aliyeajiriwa. Lkn pia gharama yake ya kuwa SHAREHOLDER/mwenye hisa ni ndogo yaani Tsh.26000/-...Tangu siku hyo maisha yangu yakabadilika na LACKSON anayekuandikia masomo haya ni kutokana na jinsi biashara ya mtandao/network marketing ilivyonibadilisha kifikra na pia kimtazamo
MWISHO..Ndugu yangu ni imani yangu kupitia safari yangu hadi nilipofika leo umejifunza jambo fulani. Hebu jaribu kufikiri utasubiri hadi lini kuchukua uwamuzi wa kufikia maisha unayoyatamani kuwa nayo, siku moja na wewe watu wanufaike wakisoma na kupiga hatua kupitia ujuzi/talent ulionao,kuwa na kipato endelevu na uhuru wa muda?..maisha ni wewe mwenyewe usisubiri ndugu,serikali kuja kukupa ndoto zako utapotea.
Waweza nitafuta kwa nambari 0764793105 ambayo pia ipo Whatsapp au kuni ADD kuwa rafiki yako facebook "Lackson Tungaraza" uzidi kupata mafundisho mbalmbal pia kwa ushauri au msaada muda wowote ule uliza au kufanya hii biashara kwani naamini kama mimi niliweza hata wewe unaweza..UBARIKIWE, TUKUTANE KTK MADA NYINGINE