Thursday, October 8, 2020
Namna unavyoweza Kufanikiwa Kimaisha kuanzia Chuoni Ndani ya kitabu hiki kuna Funguo za Kukusaidia wewe Mwanachuo ...Uweze kujua ni kwa Namna gani Unaweza Kufanikiwa Kimaisha kuanzia Chuoni, hata kama Umechaguliwa kwenye Chuo Usichokipenda au Kozi uliyoambiwa HAINA SOKO. Haijalishi uko Mwaka wa Kwanza, Mwaka wa Pili, Mwaka wa Tatu, Mwaka wa Nne, au Mwaka wa Tano [ikiwa unasomea Udaktari]... kitabu hiki kinakufaa sana. Haijalishi Changamoto uliyonayo. Iwe ni ya Kielimu, Kimahusiano, Kifedha, Kiroho, au Kitabia... kitabu hiki kinakufaa sana, na tena kitakupatia hatua rahisi za kukutoa hapo ulipokwama kwenda kule unakokutamani. Hiki kitabu kimeandikwa kwa ajili yako. Ukiwa unakisoma, unaweza ukadhani kulikuwa kuna Mpelelezi aliyekuwa akiyafuatilia Maisha yako na kuja kuyaweka Hadharani; kwa sababu kimesheni zaidi ya 90% ya Maswali yaliyokuwa yanakusumbua kwa muda mrefu. Kwa upande mwingine, Kitabu hiki Kitakusaidia kujua namna unavyoweza ku_balance mambo ya chuoni na mambo yako binafsi; Ili uweze kunufaika Chuoni na Mtaani. Kama Hakitakusaidia kama ulivyoahidiwa, basi una haki ya kuomba kurejeshewa Pesa yako. WAKATI NI SASA. JICHUKULIE HIKI KITABU SASA HIVI. USISEME UTAJICHUKULIA BAADAE AU KESHO. Kwa kadiri unavyopoteza Muda, ndivyo unavyojichelewesha kuyafikia Mafanikio yako yanayoanzia papo hapo ulipo. Na Kwa kadiri unavyopoteza Muda, ndivyo GHARAMA YA KITABU INAVYOPANDA. KUMBUKA: Hiki kitabu kina kurasa 127+ Zilizoshiba, na KIMEKWISHA KUWASAIDIA WATU WENGI WALIYOKUWA NA HALI MBAYA ZAIDI YAKO. ➡ Mawasiliano ya Kujipatia kitabu: 0764793105 WhatsApp. #Kumbuka: Endapo utajipatia Kitabu hiki Siku hii ya Leo, basi utapatiwa na kitabu kingine cha BURE, pamoja na USHAURI wa BURE juu Ndoto zako za kimaisha (kwa Siku Saba). Njoo WhatsApp muda huu. By LACKSON TUNGARAZA. Mwandishi wa Vitabu zaidi ya 7, Muasisi wa @lamaxdesigns, na Mkufunzi wa Waandishi wa Vitabu na Wajasiriamali Wadogo na wa Kati. @lacksontungaraza . Instagram: https://ift.tt/2I7rrI1 Facebook: https://ift.tt/3dcp1mL #Mwanachuo #LacksonTungaraza #Diary
0 comments:
Post a Comment