Thursday, January 17, 2019

"KUWA MAARUFU SIO DHAMBI" -Lackson Tungaraza KUWA MAARUFU SIO JAMBO BAYA KAMA BAADHI YA WATU WANAVYODHANI. LEO akina MASANJA, MC PILIPILI na wengine wengi wanakula MAISHA kwa sababu ya UMAARUFU. Na watu MAARUFU ndiyo wanaotumiwa na Makampuni makubwa katika UTANGAZAJI WA BIDHAA MPYA. Mfano Diamond anatumiwa sahivi kutangaza kinywaji cha MIRINDA. KWA HIYO JIFUNZE, KISHA UTOE MAONI YAKO

0 comments:

Post a Comment

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI