Thursday, January 17, 2019

KITABU KIZURI ZAIDI KWA AJILI YAKO TAIFA LA ISRAELI LINASIFIKA SANA KWA KUWA NA TEKNOLOJIA ZA HALI YA JUU, PAMOJA NA WATU WAKE KUWA NA UBUNIFU WA HALI YA JUU SANA. TAFITI ZILIPOFANYWA, ILIONEKANA YA KWAMBA, WAISRAELI NI WASOMAJI WAKUBWA SANA WA VITABU; MWISRAELI MMOJA HUSOMA ZAIDI YA VITABU 50 KWA MWAKA. NAWE UNATAKA KUFANIKIWA? HUNA BUDI KUWA MSOMAJI MKUBWA WA VITABU VIZURI. Na mojawapo ya vitabu vizuri sana ni hiki hapa kwenye Video. TAZAMA, KISHA UTOE MAONI YAKO

Related Posts:

  • BEHIND THE SCENE. Nakumbuka Wakati nilipokuwa Field ya mwaka wa pili St. John's University of Tanzania  (SJUT) iliyopo Jijini Dodoma, ndiyo Wakati nilipopata wazo  (idea) la Kuandika Kitabu ambacho kitawasaidia Vijana wenzangu Wengi… Read More
  • KITABU KIZURI ZAIDI KWA AJILI YAKO KITABU KIZURI ZAIDI KWA AJILI YAKO TAIFA LA ISRAELI LINASIFIKA SANA KWA KUWA NA TEKNOLOJIA ZA HALI YA JUU, PAMOJA NA WATU WAKE KUWA NA UBUNIFU WA HALI YA JUU SANA. TAFITI ZILIPOFANYWA, ILIONEKANA YA KWAMBA, WAISRAELI NI WASO… Read More
  • "JIAJIRI UPATE UHURU WA KIFEDHA NA KIUCHUMI” - Mzungumzaji, au Mwalimu. Mwanzoni Uliamini ya kwamba KWA KUJIAJIRI ndipo UTAPATA UHURU WA KIFEDHA na KIUCHUMI. Ukakataa KUAJIRIWA kwa Sababu ya kasoro Yake ya KUWEKEWA UKOMO WA FEDHA UNAYOINGIZA (Income) kutoka kwa MWAJIRI wako. LAKINI LEO! … Read More

0 comments:

Post a Comment

MAKUNDI YA MASOMO YETU

CHAGUA MASOMO HAPA

Powered by Blogger.

ZILIZOSOMWA ZAIDI