Thursday, March 1, 2018
12:18:00 PM
Lackson Tungaraza
KUJULIKANA POPOTE
No comments
KUJULIKANA POPOTE KILA MWANADAMU huwa na ile hali ya kuhitaji KUJULIKANA aidha kwa Mema au Mabaya ambayo ameamua kuyatenda katika Ubora wa Ujinga au Hekima aliyonayo. Lakini hapa tutatazamia upande wa Mema, NAMNA YA KUJULIKANA POPOTE PALE KATIKA YALE UYATENDAYO. Karibu sana.... Usisahau ku_Subscribe na kuwasambazia na wenzako KUPATA VITABU VYANGU Mf. cha 'SITARUDI NYUMA TENA' 0764-793105 Lackson Tungaraza fb.com/ltungaraza
Related Posts:
LIVING FOR MANY ONLINE SEMINAR - SEMINA BOMBA YA KIUCHUMIMwenye hekima mmoja alisema ya kwamba, “sababu ya msingi inayowafanya watu wafeli kwenye maisha ni kutoweka Mipango mipya ya kuwaondoa kwenye Mipango ile ya awali iliyowakwamisha.” Naamini kuna mipango kadhaa uliyop… Read More
KUJULIKANA POPOTE KUJULIKANA POPOTE KILA MWANADAMU huwa na ile hali ya kuhitaji KUJULIKANA aidha kwa Mema au Mabaya ambayo ameamua kuyatenda katika Ubora wa Ujinga au Hekima aliyonayo. Lakini hapa tutatazamia upande wa Mema, NAMNA YA KUJULIKA… Read More
" SIRI ZA MAFANIKIO! " (Sehemu ya Pili) Wakati uliopita tuliangalia namna ambavyo Akili ikitumika ipasavyo inaweza ikamfanya mtu akatumikiwa na wenye nguvu nyingi za Mwilini. Tuliona namna ambavyo Lionel Messi huwatesa Wachezaji wengi wa timu pinzani kwa sababu ya… Read More
0 comments:
Post a Comment