Sunday, October 15, 2017
KWANINI WATU HAWAFANIKIWI KWENYE MAISHA YA KILA SIKU-Tungaraza (made with Spreaker) Source: http://ift.tt/2gbY85E kuna mambo kadha wa kadha ambayo huwa kwa namna moja ama nyingine huwafanya watu wasifanikiwe katika maisha yao, licha ya kuwa na BIDII kubwa sana katika matendo. katika somo hili nililofundisha ICE FM RADIO wakati Fulani huko nyuma litakusaidia kuzifahamu Zaidi. jifunze sasa
0 comments:
Post a Comment