Jibu: Ndio, mtu yeyote yule mwenye kujua alipoanguka na akageuka na kuparekebisha kwa kutumia mbinu mpya tofauti na za mwanzo zilizomfelisha ni halali kufanikiwa tena hata zaidi ya awali.
Nitakuwa mwongo nikisema kuwa 'hakuna mtu ambae hajawahi kupitia changamoto mbalmbal ktk biashara yake' na hata wewe msomaji unalitambua hilo.Utofauti unakuja pale unapochukua uwamuzi wako na pia watu wanaokuzunguka ktk utatuzi wa changamoto zako.Kuna walioacha kufanya biashara, waliokaa pembeni kutazama wenzao kama wao wataweza, wanaoogopa kuanza kufanya biashara n.k kwasababu ya changamoto ambazo aidha wamekutana nazo au wamaesikia kwenye vinywa vya watu fulani ambao kwa namna moja au nyingine walifanya wakashindwa.
Leo kupitia makala hii ya Lackson Tungaraza naomba ujifunze mambo haya yafuatayo:
1. Je unajua umuhimu wa kutimiza ndoto zako ktk maisha?
2. Je msukumo uliokuwa ndani yako kipindi unaanza biashara bado upo?
3. Je unafahamu maadui wakubwa wa ndoto zako ni watu wa karibu yako kama ndugu, rafiki, wazazi n.k?
4. Je wajua kuwa uwamuzi wako leo ndio kipimo cha mafanikio yako ya kesho?
Jibu la kwanza:
chukulia mfano wa TIMU ZA REAL MADRID NA BARCELONA WAMEINGIA UWANJANI KUCHEZA HALAFU MAGOLI YALE HAYAPO, Hivi unadhali licha ya umahiri wa wachezaji wao bila sehemu ya kufunga magoli umaana wa huo mchezo utakuwepo?,hautakuwepo kabisa. Ndivyo ilivyo kwako ambae hadi sasa hujui ktk maisha yako ya kibiashara unataka kufika wapi kwasababu yote unayoyafanya unaiga kwa wengine. Wakifungua SALON nawe unafungua, wakikata tamaa nawe vivyo hivyo n.k. Ebu leo chukua kijitabu kidogo uandike ndoto zako kibiashara kwa mbinu utakazotumia kufanikisha au nitafute nikuelekeze bure kabisa.NELSON MANDERA HAKUZUILIWA NA GEREZA KUTIMIZA NDOTO ZAKE LICHA YA KUFUNGWA MIAKA YOTE ILE
JE WEWE UNAWAZA NINI JUU YA MAISHA YAKO YA BAADAE? |
Jibu la pili:
Maisha ya mtu ni kama sufuria lililowekwa jikoni na kuachwa, umoto wake unategemea kiasi cha uchocheo wa moto na kiasi cha moto wenyewe.KUMBUA KIPINDI UNAJIFUNZA KUENDESHA BAISKELI, NI MARA NGAPI ULICHUBUKA AU KUUMIA NA KUANGUKA CHINI LAKINI BADO UKUKATA TAMAA HADI LEO WEWE NI MAHIRI WA KUENDESHA BAISKELI KWA MWENDOKASI UNAOPANGA WEWE. Kama hilo zoezi lililokuwa gumu uliliweza ukiwa bado ufahamu wako ni mdogo basi kumbe hata ktk biashara yako unaweza kufanikiwa sasa hata kama ule msukumo uliokuwa ndan yako ulipotea ghafla. JIAMINI NA UTENDE UNACHOKIAMINI.
Jibu la tatu:
Hata maandiko matakatifu yanasema,"ADUI WA MTU NI WA NYUMBANI MWAKE".Lakini sio kwamba kila aliyekaribu nawe ni adui wa ndoto zako ila wapo miongoni mwao, Wengine unawafahamu ila umeamua kuendelea nao kisa ni watu wako wa karibu wa kukupa faraja.
HAKUNA ALIYEFANIKIWA KIBIASHARA KWA KUJICHANGANYA NA WATU WASIOAMINI NDOTO ZAKE AU KUWA NAO KARIBU SANA, ULIZA POPOTE PALE DUNIANI.Jitenge nao kuanzia sasa ili uweze kufikia kusudio lako kibiashara, mimi pia Lackson Tungaraza nimeweza kupiga hatua kibiashara mara nilipolijua hili na kulifanyia kazi bila uwoga, kumbuka UWOGA WAKO NDIYO UMASIKINI WAKO.
Jibu la nne:
Ktk maisha kuna uwamuzi mbaya na mzuri, mtu binafsi ndiye anaechagua ni upi uliobora kwake. Kuna msemo usemao "NINGELIJUA" ambao wengi wetu tumeutumia ktk maeneo mbalmbal maishani mwetu, lakini kwanini bado tunaendelea kusema hvyo kama mwanzo tulijutia? Nadhani hapo utakuwa umeelewa pointi ya maamuzi. Fanya maamuzi leo ili baadae usijeseme NINGELIJUA NINGELIFANYA, Kuna fursa nyingi za kibiashara ambazo mara kwa mara Mungu anazileta kwako lakini bado umekuwa mzito wa kufanya maamuzi yako binafsi kwa uwoga wa kufanya biashara na unajifariji NIKIMALIZA MASOMO NITAFANYA, NIKISTAAFU HII AJIRA NITAANZA, NIKIOA NDIPO UTAKUWA MUDA MUAFAKA, SINA MTAJI WA KUTOSHA n.k.
"HATIMA YA MAISHA YAKO IPO MIKONONI MWAKO WEWE"
Nilipoligundua hili niliweza kuanza kufanya biashara ya kisasa ya 'Network Marketing' nikiwa na mtaji mdogo ambao wewe unalalamika eti hautoshi. Hii biashara ya kisasa inafanywa na mtu yeyote yule bila kujali kiwango cha elimu wala leseni ya biashara, kodi ya nyumba, kodi ya mapato n.k
KARIBU NIKUFUNDISHE JINSI UNAVYOWEZA KUFANYA HII BIASHARA YA KISASA KWA MTAJI HUO HUO ULIONAO BILA KUTOA MALIPO YA MAFUNZO HADI UTAKAPOFANIKIWA.
Call/sms/Whatsapp: 0764793105
Email(Barua pepe): lacksontungaraza@gmail.com
PIA COMMENT
0 comments:
Post a Comment