Namna unavyoweza Kufanikiwa Kimaisha kuanzia Chuoni Ndani ya kitabu hiki kuna Funguo za Kukusaidia wewe Mwanachuo ...Uweze kujua ni kwa Namna gani Unaweza Kufanikiwa Kimaisha kuanzia Chuoni, hata kama Umechaguliwa kwenye Chuo Usichokipenda au Kozi uliyoambiwa HAINA SOKO. Haijalishi uko Mwaka wa Kwanza, Mwaka wa Pili, Mwaka wa Tatu, Mwaka wa Nne, au Mwaka wa Tano [ikiwa unasomea Udaktari]... kitabu hiki kinakufaa sana. Haijalishi Changamoto uliyonayo....
Thursday, October 8, 2020
Sunday, May 31, 2020
Friday, May 15, 2020
ACHA KUHANGAIKA - Lackson Tungaraza Kwa nini unapenda sana kuhangaika katika kupata mambo kadha wa kadha katika maisha yako ? Hivi Unajua kwamba unaweza ukavipata bila kuhangaika? Niandikie hapa chini kama Waamini au Mawazo uliyonayo juu ya hilo. Usisahau ku_Subscribe Kwenye hii Channel na kubofya alama ya kengele "Notification" ili uzidi kupata Video kwa Urahisi zaidi. Pia #SHARE hii video na wenzio. https://ift.tt/2OoTT...
TABIA GANI INAKUTOFAUTISHA NA WENZIO? (Lackson Tungaraza) Ni tabia gani inayokutofautisha na wenzio? [Kama huna, basi una safari ndefu sana hadi Uje kufanikiwa kwenye maisha yako.] Niandikie Mawazo yako hapa kwenye Comment... nami nitakusaidia ulipokwama. Usisahau ku_Subscribe Kwenye hii Channel na kubofya alama ya kengele "Notification" ili uzidi kupata Video kwa Urahisi zaidi. Pia #SHARE hii video na wenzio. https://ift.tt/2OoTT...
BOOM LA CHUO - Lackson Tungaraza Wewe MWANACHUO, Unalitumiaje Boom lako - Pesa unayopewa na Serikali kujikimu kimasomo uwapo Chuoni? Niandikie Mawazo yako hapa kwenye Comment... nami nitakusaidia ulipokwama. Usisahau ku_Subscribe Kwenye hii Channel na kubofya alama ya kengele "Notification" ili uzidi kupata Video kwa Urahisi zaidi. Pia #SHARE hii video na wenzio. https://ift.tt/2OoTT...