YESU TUSAIDIE Jambo kubwa lililokuwa likiwatesa Wanadamu kwà karne nyingi zilizopita ni NGUVU Ya Mauti. Ashukuriwe Mungu ambaye alitupatia Ukombozi. SIKILIZA hili SHAIRI KUJIFUNZA zaidi. #USISAHAU Ku_SUBSCRIBE na ku_Share hii video huko Facebook, Twitter, WhatsApp n.k Fb.com/ltungaraza 0764-793105 Kupata VITABU vyangu na MAFUNDIS...
Sunday, February 25, 2018
Sunday, February 18, 2018
7:37:00 PM
Lackson Tungaraza
MUDA SIO SIASA
No comments
MUDA SIO SIASA Kuna watu Wengi Ambao wamekuwa wakiuchukulia MUDA kama Siasa, lakini Sivyo. MUDA ni wa thamani sana hata kwa Wanafunzi wanaoelekea kufanya University Exams (UE). JIFUNZE zaidi kupitia hii video. USISAHAU Ku_SUBSCRIBE na ku_Share hii video huko Facebook, Twitter, Instagram, WhatsApp N.K Fb.com/ltungaraza Kupata VITABU vyangu na MAFUNDISHO zaidi; 0764 793105 Lackson Tungara...
Saturday, February 17, 2018
7:37:00 PM
Lackson Tungaraza
LIPA GHARAMA
No comments
LIPA GHARAMA Kila Mtu anatamani kufikia katika VIWANGO fulani kwa kimafanikio kama Mtu fulani, lakini Suala la KULIPA GHARAMA limekuwa Likipotezewa sana. Leo JIFUNZE juu ya KULIPA GHARAMA. USISAHAU Ku_SUBSCRIBE na ku_Share hii video huko FB, WhatsApp N.K Fb.com/ltungaraza 0764 7931...